Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,346
- 9,889
Wadada wamelia sana. Sisi wanaume tunagugumia kwa maumivu kimya kimya
mimi nitafanya kazi masaa 3 mengine hadithi tu
Diamond na Wema kura zao ni mbili tu haziwezi kuchagua Rais wa nchi, labda kama tafauti ingekuwa ni kwa kura hizo.
Na mimi nakuuliza, hivi kweli watanzania ni wa kuchagua rais ambaye tunamwona kiuhakika kwamba afya yake siyo nzuri? Na wala siulizi hivyo kwa kumkejeli maana maradhi mtu hupewa na Mungu, lakini kuna nini huko ikulu mpaka iwe lazima hivyo?
Acheni kujifariji. Magufuli hahitaji tabasamu wala kelele za mtu. Anasema yeye ni kazi tu. Wengi hawana furaha kwa sababu walidanganyika na nyomi. Wakasahau nyomi sio kura. Sasa rais keshapatikana wala hahitaji tabasamu lako. Anataka ufanye kazi tu.
UKAWA wajilaumu wao wenyewe kwa ujinga wao, wangeibana sana ccm kwa swala la escrow, katiba mpya na ufisadi, na watz walikuwa na imani kubwa nao, gia ya angani ndo imeifikisha ukawa hapa-waliachana na ajenda ya rushwa na ufisadi, Dr.Makufuli kaitumia sana na ndo maana watu wamemwani sana kuliko Lowasa ambaye hakuwa msafi kabisa, waliamua kutumia pesa yake ili kupata nafasi ya urais-na imegonga mwamba.
Wadau, unajua uongo una mwisho wake. CCM wana siri kubwa na hawataki watu waijue. Ila wana mwisho wake. Hii kubebana ina mwisho wake