Mkuu umetuonesha quantity.tupe na quality na value zao,unaweza kutumia mifano ya michango yao kwa Taifa kupitia mabunge yaliyopitaWanafiki hao,; wabunge zaidi ya 205 CCM halafuCHADEMA wabunge 35 bado useme wanaumwa? Labda kuna kuna ugonjwa mwingine.Hivi mfano huyo LOWASSA angeshinda. Je angeongozaje nchi na wabunge 60 [UKAWA]?. CCM wangemburuza tu maana wao ndiyo wangekuwa wanapinga kila kitu.Kubalini tu kuwa mamvi katokota.