Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 40,025
- 51,165
Singapore ipo mbali mkuu!Ni kweli zote hizo ni nchi za sunia yetu tu pekee
Singapore ipo mbali mkuu!Ni kweli zote hizo ni nchi za sunia yetu tu pekee
NishaionaaaHaipo kiaje?
Unasoma kwa pupa kama unakimbizwa mkuu, rudi juu kasome tenaGhana mbona haipo ama nayo skuiz mpk Visa
Je dubai?Hakuna visa mkuu
Umekurupuka mkuu, soma vzrGhana mbona haipo ama nayo skuiz mpk Visa
Ndo kwanza asubuh ya January uneshaanza kupofka macho mkuu na ikifka February je??Ghana mbona haipo ama nayo skuiz mpk Visa
Zanzibar kitu gani...Zanzibar haipo!
Halafu nchi karibia zote hapo ni level ya Tanzania
Vipi kuhusu singaporeZote ni nchi rahisi rahisi tu, isipokua Qatar na south Africa
Mkuu unafanana uchumi na singaporeNa wamefanya hivyo kwa sababu wote tunafanana kiuchumi
SafiNchi 73 ambazo Mtanzania anaweza kuingia bila VISA.
Afrika Kusini
Antigua & Barbuda
Albania
Armenia
Azerbaijan
British virgins Island
Barbados
Bangladesh
Botswana
Burundi
Bahamas
Belize
Bermuda
Bolivia
Cambodia
Cayman Island
Cape Verde
Comoros
Cook Islands
Djibout
Dominica
Ethiopia
Ecuador
Egypt
Fiji
Ghana
Grenada
Guinea
Georgia
Haiti
Hong Kong
Jamaica
Jordan
Kenya
Kosovo
Laos
Lebanon
Libya
Liberia
Macau
Malaysia
Madagascar
Maldives
Malawi
Mauritius
Micronesia
Mozambique
Monserrat
Mongolia
Nauru
Niue
Nepal
Namibia
Nicaragua
Palau
Philipines
Qatar
Rwanda
Samoa
Suriname
St. Kitts & Nevis
St. Vincent & Grenadines
St. Lucia
Sierra Leone
Singapore
Swaziland
Tuvalu
Togo
Turkmenistan
Trinidad & Tobago
Timor-Leste
Uganda
Vanuatu
Zambia
Zimbabwe