Chausiku siyo Chamchana
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 379
- 231
Wewe jamaa nimekukubali sana.Wale UKAWA sisi CCM
Wewe jamaa nimekukubali sana.Wale UKAWA sisi CCM
Sipendelei upande wowote ila nimegundua mengine ni propaganda za USA & CIA yake kwa maslahi ya taifa lao..........kuna Muarabu mwenye mabomu ya Nuclear !? ....au una chuki nao tuu !??
Unamfahamu aliandaa na kuiandika? Hakuna kisicho na faida. Je, unajua alifanya hiyo kazi kwa maslahi gani? Aliendaa ni binadamu kama sisi kuna upande yuko na mapenzi nao.Sawa sasa hiyo ni website, Journal Kitabu au makala bado haujaweka wazi
Kama sisi Watanzania tubaguanavyo kwa udini, ukabila, walionacho dhidi ya wasionacho, kuna rafiki yangu kasema wale UKAWA sisi CCM.sijaona southafrica........wale wao kwa wao wanabaguana
Huu nao tayari ni ubaguzi wa kiitikadi za kidini.Uislaam wa Kishia hauwezi kuwa Uislaam sawa na Uislaam wa Kibohora !
Hata Tanzania kuna ubaguzi wa kiitikadi za udini, ukabila, walionacho dhidi ya wasionacho, wale UKAWA sisi CCM.South Africa haimo bandugu?
Acha nipote kimya kimya.Hahahahaaa
Kabla ya kukagua vilivyomo kwenye macho ya wengine tutoe kwanza boriti kwenye macho yetu. Tanzania kuna ubaguzi wa kiitikadi za walionacho dhidi ya wasionacho, udini, ukabila, wale UKAWA sisi CCM.Babalao kwa UBAGUZI !!
![]()
Mchana kweupee peee..ilisomeka hivi.. " Machotara "
Last emperor vipi hapo !!
Yaa upo sahihi mkuu sina kipingamizi kwa hayoHata Tanzania kuna ubaguzi wa aina nyingi sana, udini, ukabila, walionacho dhidi wa wasiokuanacho.
Iran sio waarabu ni waajemi(farsi, Persians)Mkuu ni kwel ila niliogopa kutumia hilo neno.....
kweli , sijui kwann ?Wakati wenzetu walio wengi ubaguzi wao ni dhidi ya wageni na rangi,lakini sisi tunajibagua sisi kwa sisi halafu tunawatukuza wageni.
hahahaaaaaaaaaaaaaaUmesahau nchi ya watu wazima (magovi): Mkoa wa Kagera.
waarabu weusi saud Arabia/oman wapo, unamkumbuka goalkeeper wa Bolton wanderes kama sijakoseaKuna wamerekani weusi,walizaliwa huko.Mbona hatuoni waarabu po wengibia waweusi kule kwao uarabuni wakati nao walijihusha vizuri na biashara ya watumwa?
Baba wa ubaguzi !!!!Kabla ya kukagua vilivyomo kwenye macho ya wengine tutoe kwanza boriti kwenye macho yetu. Tanzania kuna ubaguzi wa kiitikadi za walionacho dhidi ya wasionacho, udini, ukabila, wale UKAWA sisi CCM.
Hakuna nchi isiyo na ubaguzi dada, hapo inazungumzia kumi boraHata Tanzania kuna ubaguzi wa aina nyingi sana, udini, ukabila, walionacho dhidi wa wasiokuanacho.
Kagera inaitwa nchi ya watu wazima? Wanaume wa Kagera ni magovi???!!! Jf kuko na mambo...!Umesahau nchi ya watu wazima (magovi): Mkoa wa Kagera.
Zimetumika takwimu gani kufanya ranking mpaka kufikia kuiweka nchi fulani namba fulani na nchi nyingine kutokuwemo kwenye orodha ya kumi zionazongoza???Hakuna nchi isiyo na ubaguzi dada, hapo inazungumzia kumi bora