Umesahau south Africa dhidi ya wageni, Zimbabwe dhidi ya wazungu, Burundi wahutu/Watusi, Zanzibar Cuf Na CCM, Tanganyika Ukawa na CCM.Ubaguzi sio lazima uwe wa rangi. Kuna hata wa dini, kipato na ukabila.
Achana nae mkuu hana ajualo anawaza ujinga tu! Sasa akitumia neno baya au lugha mbaya ndio itamsaidia kukuza uelewa wake? Hana habari kua huyo Iran na Saudia ni kama Chui na Paka.ajikite kwenye mada bana. Muambie ni Persians tena hao ndio wabaguz sana kwa waarab. Wanawabagua waarab kuwa ni uncivilised low IQ
Kulikua na umuhimu gani wa kuingiza mambo ya dini? Hapa tunaongelea ubaguzi,sio kila kitu lazima uingize udini acha mawazo mgando wewe,kwani ungesema tu IRAN isingetosha??Jamhuri ya kiislamu ya irani sasa cjui nimeropoka nn???
Tatzo lako viroba unafanya chakula acha hiyo itakugharimu huo udini umeuleta weweKulikua na umuhimu gani wa kuingiza mambo ya dini? Hapa tunaongelea ubaguzi,sio kila kitu lazima uingize udini acha mwazo mgando wewe,kwani ungesema tu IRAN isingetosha??
Tulia wewe, huna cha kuchangia pita kimya tu sio kutuingizia udini hapa, kuna mtu alikuuliza kua Iran ni nchi ya Kiislamu au ni Kiherehere chako tuu? Jikite kwenye mada ya Ubaguzi, hivyo vimaneno vya kitoto eti sijui viroba wapelekee watoto wenzio huko kwenye vijiwe vyenu vya Kahawa.Tatzo lako viroba unafanya chakula acha hiyo itakugharimu huo udini umeuleta wewe
Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
Mbona unatokwa povu kiasi hicho??mimi sijaleta udini na sina udini kama usingizi umekuzidia ukalale viroba bila kula ni shida sanaTulia wewe, huna cha kuchangia pita kimya tu sio kutuingizia udini hapa, kuna mtu alikuuliza kua Iran ni nchi ya Kiislamu au ni Kiherehere chako tuu? Jikite kwenye mada ya Ubaguzi, hivyo vimaneno vya kitoto eti sijui viroba wapelekee watoto wenzio huko kwenye vijiwe vyenu vya Kahawa.
Kwa kukusaidia nenda kasome page ya 4 bandiwe aliuliza hilo swali kwa mtindo wa kubisha kuwa hakuna nchi ya kiislamuTulia wewe, huna cha kuchangia pita kimya tu sio kutuingizia udini hapa, kuna mtu alikuuliza kua Iran ni nchi ya Kiislamu au ni Kiherehere chako tuu? Jikite kwenye mada ya Ubaguzi, hivyo vimaneno vya kitoto eti sijui viroba wapelekee watoto wenzio huko kwenye vijiwe vyenu vya Kahawa.
Kwetu ugali maharage ni bora kuliko nyama, anayopikaga mama mi ndo nayapenda sanaaKwa ubaguzi huu ndio maana waliotembea dunia yote wakasema
EAST OR WEST HOME IS THE BEST
Wengine wakasema
HOME SWEET HOME
Juma nature akamalizia
NYUMBANI NI NYUMBANI HATA KAMA NI KICHAKANI
Nchi nyingi za kiarabu kama iran na saudi ni wabaguzi sana kuzidi marekani.... ukiwa usa pamoja na ubaguzi wao lakini uko salama kuliko nchi nyingi za kiarabu....
Reference: AkonKuna point sikubaliani na wewe,sio wazungu wote wana badilika rangi wakiwa kwenye jua na sio watu weusi wote wana kuwa 'light skinned' kwenye baridi.Inategemea na mtu na mtu.
Ushakaa na watu wa west africa kama senegal,gambia etc jamaa hawabadiliki rangi hata wazaliwe kwenye baridi vizazi na vizazi kwa ujumla africa yote.
Hii kali mwisho utasema unga wa ngano unatengwa na unga wa mahindi na maharage hayawekwi gunia moja na mchele...Ubaguzi upo kila mahali mkuu, nitakupa miafano michache:
1. Hospitalini wagonjwa mahututi wanabaguliwa kwa kuwekwa katika chumba chao maalumu kinachoitwa I.C.U. Pia wagonjwa wa kifua kikuu wanabaguliwa kwa kulazwa katika wodi yao pekeyao. Hapo sijamaliza na akina mama waliojifungua.
2.Jeshini kuna ubaguzi wa vyeo hivyo maofisa wana mess (Sehemu ya kulia chakula) yao pekeyao na hivyo kuwatenga wasio maofisa.
3.Nyumbani kwenu / kwako mgeni akikutembelea na kuisha hapo hata kwa mwaka mmoja hawezi kupata haki zote sawa na wewe au wanafamilia wengine aliowakuta hapo hivyo kuna vitu fulani ataruhusiwa kufanya lakini vingine atakatazwa kwa kuwa ni mgeni tu.
4.Kwenye vyoo vya umma kuna vya wanawake pekee na vya wanaume pekee, huu pia ni ubaguzi.
5.NK
Mkuu ukisema wanakuona wewe ni mdiniHarafu kutwa mko misikitini na makanisani mkiomba kupitia mtume mzungu (Yesu) na mtume wa kiarabu (Muhammad). Ujinga uliovuka mipaka