Nchi 10 zinazoongoza kwa ubaguzi duniani

Nchi 10 zinazoongoza kwa ubaguzi duniani

Mkuu mimi cjaleta udini ni kweli hao watu wanaitwa wapersian na pia hiyo nchi

Kiswahili chake Waajemi

yaitwa jamhuri ya kiislamu ya irani na ndio maana wapo katika umoja wa nchi za kiislamu OIC ila kunamdau hapo alipanic bure kwa ajili ya jina la ID hii pia mimi ni muislamu
 
Ukiniambia mzungu anaongoza kwa ubaguzi bado nakataa.
Anaongoza mhindi kanjibai afu ndo aje mwarabu anafatia NIGGA pia anazarau sn white people kisha mzungu wa mwisho
 
Bandiwe, Uturuki ni Islamic State...kwa hiyo nchi za kiislam zipo
 
The world is in your finger tips...you can just google it.Never underestimate the power of google...

Ndio ujinga wako huo. Google ni search engine, kwa hiyo NIKIGUGO hata huu ujinga wako nao utakuwa kwenye list. Uneulizwa source ya hii study yako, google siyo source.
 
Mimi nimewahi fika Kenya, Marekani na Qatar, lakini sijawahi kubaguliwa huko. Mara pekee niliyowahi kubaguliwa maishani, nilienda Zanzibar.....sitaraji kwenda tena.

Waliniita chogo, sijui maana yake kwa kiswahili lkn nafikiri wanamaanisha kafiri. Kila guest house nilikoenda waliniambia vyumba vimejaa, mpk teja mmoja pale ferry akanipeleka Adams Inn, ndio nikalala hapo baada ya yeye kunisaidia kujieleza.

Asubuhi nilitafuta ATM ya UMOJA, nikamuuliza kijana mmoja pale Forodhani, akaniambia yeye sio kazi yake kuelekeza watu. Nilifanikiwa kusogea maeneo ya karibu na lilipokuwa soko la watumwa, kuna benki pale ya FBME, nikamuuliza mama mmoja akasema haijui na hajapata kuisikia. Baadaye FFU mmoja alinielekeza, kwa maajabu...ni jengo hilo hilo alilokaa huyo mama akiuza vitafunio.

Kama haitoshi, pale darajani niliona video camera ya mtumba inauzwa, nilipouliza bei nikaambiwa haiuzwi. Dalali aliniambia siku nyingine nijifunze kusalimia kistaarabu kama nataka kuhudumiwa.

Jamani, Waarabu wa Qatar ni wakarimu sijapata kuona. Americans hawana time na mtu. Usimuulize kitu Black America, atakujibu huku anaenda hata hutaelewa alichosema.
 
-Niweke Sawa hapo kwanza.
Chogo hupenda kuita mtu yoyote wa Bara,ukisikia Chogo ujue ni wa Bara,wakina na maana kwamba Asili ya Watu wa bara vichwa vyao ni Vichogo.
-Kuhusu Guest inategemea ulienda Vipi,wakiona umekaa kihatari hatari hata Dar hawawezi kukupa
Pale Adams Inn kwanza sio watu wa kuhoji Saana,maana Pale ni Bandarini,ila usalama wa kila mgeni ni juu yao.Na ndio maana inabidi wakuulize kama mgeni wa kawaida wakati wa kucheck in na kama wana daubt basi watakuuliza masuali ya Ziada
Utakumbuka kwamba pale Adams Inn kuna Guest inaitwa Malindi inaelekezana na Adams Inn,kuna jamaa alikuja haeleweki,akakodi chumba,na chumba chake alilocate chumba kilichopo juu ya Duka la Sim,basi ailipofika usiku,akaja na wageni wake,wakaingia room kumbe walienda kutoboa zege na kudongokea kwenye duka la sim na kuiba simu kibaooo.Sasa hadhari ni muhim mkuu
Ila Guests Houses na sehem zote za kulaza wageni hazina ubaguzi,na ifahamike kwamba ubaguzi mwingine ni wewe baada ya kujishuku.Watakubagua vipi wakati wana Room`s Rates za Foreigners na Resident.
ATM ya Umoja,kwanza kama unauliza bila kusalimia hatamie sikujibu.
Ila vijana wa Pale forodhani ni Wastaarabu wengi wao,wewe ungeuliza hata Driver Tax angekuelekeza,sasa kama umeenda na mbwembwe zako kama Bill Gate na kuuliza tu watakuzingua tu lazima,na unabahati wanatabia ya kuku locate mbaliii kama ukifanya madharau.
Kuhusu kumuuliza huyo Mama,ni kwamba hata vijana wa kawaida wangpata tabu kukujibu ilipo ATM ya UMOJA,wewe mama anauza maandazi unategemea mambo hayo ya Bank.Huyo mama hata neno ATM halijui maana yake,anajua,usilaumu kila kitu mkuu,lazima uendane na uhalisia,ni ATM Chache sana za Umoja na almost kama zote zipo chini ya PBZ(People`s Bank of Zanzibar)
Kuhusu kuambiwa Camera haizwi,hii ni umetia chumvi nyingi saana,inawezekana ikawa hauzwi kweli,maana sio kila kitu ukiona dukani kinauzwa,na Wafanyabiashara wanaangalie sana hela,sio salam yako,sasa Suala la Kusalimia ni kuonyesha uungwana tu,ila sio kwamba linafanya mtu asikuuzie Bidhaa
Overall
Inaonekana hata wewe mwenyewe ni Mtata,kwanini yote yatokee kwako?
 
Me naona Tanzania ni wabaguzi kuliko wahindi(wabongo hatari)
 
Me naona Tanzania ni wabaguzi kuliko wahindi(wabongo hatari)
Wewe hizo tafiti umezipata wapi,wabongo!!!! Hakuna jambo kama hilo mbona wahindi wamepatiwa vipaumbele in terms of shelters eg nyumba NHC ukienda karibia kila mkoa nchini anza na iringa, moshi, arusha, dar nk wahindi wamepewa vipaumbele kupata makazi tena kwa kodi affordable wewe unasema nini, pia kwenye granting utaifa nao pia wahamiaji waliofuata taratibu wanapewa bila tatizo na kwa haraka sasa huo ubaguzi upo wapi
 
.Nahuo ndio ubaguzi tunaoupigia kelele kwani kusiwe na usawa badala yake watu weupe wanyenyekewe zaidi kuliko wazawa?nakwanini wapewe kipaumbele zaidi katika nyanja ulizozungumzia hali wabongo wanawekewa figisu?
 
Kwa kujibagua wenyewe kapo kaukilitimba fulani hivi i agree ila wageni sisi hatuwabagui.
 
Ndio ujinga wako huo. Google ni search engine, kwa hiyo NIKIGUGO hata huu ujinga wako nao utakuwa kwenye list. Uneulizwa source ya hii study yako, google siyo source.
Mi sio mjinga kama wewe.Kabla ya kuja na kuanza kutoa mapovu kwangu inabidi ujipange kwanza.Nitakurudisha huko kubaya ulipotoka,tena kwa kupitia nyuma..Source nilizozitumia ni nyingi,chukua hiyo hapo= Most racist countries-Top ten list. Una jingine?
 
Ila naamini race inayobaguliwa na kila mtu ni hii nyeusi
Sijui ni kwanini watu weusi wanabaguliwa hivyo...Mi binafsi sipendi rangi nyeupe,sijui ni vigezo gani wanavitumia kuona rangi nyeupe ndio bora kuliko nyeusi..Iam just wondering...!
 
Back
Top Bottom