all in all hatuwezi generalize few samples kwa the whole population. Kila nchi ina wabaguzi. Rwanda na Kenya wanabaguana kwa makabila. Hata hapa Tanzania ubaguzi upo.
Pia katika hizo nchi zote ulizotaja hapo juu sio wote ni wabaguzi. Kuna wamarekani, wahindi wenye moyo mzuri tuu na kuona binadamu wengine sawa.
All in all ubaguzi wa rangi ni suala primitive sana na ni suala ambalo katika karne hii ya science na teknolojia lisingetakiwa kuwepo.
Science imethibitisha binadamu wote wanatokea Africa na wote walikua weusi sema tu baada ya kufanya migration from Africa towards the poless and far away from the equator ndo wakapata rangi hizo since melanin iliyokuwa inazalishwa ikapoteza umuhimu wake due to low exposure to sunlight.
Ukitaka ku'prove hili kama wewe ni mweusi kaa ndani kwenye hali ya hewa ya wastani kama week ukitoka utakua fairly white na ukimchukua mzungu ukamweka beach kukiwa na jua atakuwa fairly black ambayo wenyewe wanaita tanning.