Nchi 10 zinazoongoza kwa ubaguzi duniani

Nchi 10 zinazoongoza kwa ubaguzi duniani

Nawasalimia wakuu wangu,

Ningependa tuangalie nchi 10 duniani zinazoongoza kwa ubaguzi wa hali ya juu dhidi ya binadamu wenzao kwa misingi ya rangi za ngozi zao,hali ya kiuchumi,dini,jinsia na asili (nationality).

1) MAREKANI
Marekani ndio kinara wa nchi inayoongoza kwa ubaguzi katika vigezo mbalimbali. Ubaguzi wa kwanza ulianza kwa wamarekani wageni walipookuwa wakiwaua kwa wingi kama nyani wenyeji wenye nchi ambao ni wahindi wekundu (Red Indians),ambapo waliendesha vita mbalimbali za kuwafuta katika nchi ya marekani.
Ubaguzi mwingine mkubwa ni ubaguzi wa rangi kwa watu weusi,kwasababu weusi wengi babu zao walipelekwa huko kama watumwa kwenda kufanya kazi kwenye mashamba ya wazungu na majumbani.Toka enzi hizo mtu mweusi ameonekana kama sio binadamu kamili.Japo ubaguzi wa rangi ulipigwa marufuku miaka mingi iliyopita lakini mpaka sasa kumekuwa na ubaguzi mkubwa ukiendelea.Kuna ubaguzi mwingine ambao ni wa kisiasa..nafasi nyingi za nchi kama mahakama kuu,jeshini,CIA,serikalini kumekuwa na ubaguzi nafasi hizo zishikiliwe na watu weupe ilikudumisha (white supremacy),pia ubaguzi umekuwepo wa kijamii,kidini,kiuchumi na mfumo wa kumiliki nyumba.Mpaka sasa kuna watu weupe wanathamini mbwa na farasi wao kuliko binadamu wenzao.

2) SAUDI ARABIA
Hii ndo nchi inayosemekana inaongoza kwa ubaguzi duniani kwa hali ya juu, ule wa wazi wazi na wa moja kwa moja bila hata kujaribu kufichaficha. Wenyeji wa Saudi Arabia hawapo tayari kuona mgeni akiwa anamiliki vitu vya kifahari kuliko wao kama magari,nyumba nk..uvumilivu huo hawana. Wanawake wa Kisaudia wamekatazwa wasiolewe na mgeni wa kutoka mataifa mengine,wakati wanaume wa Kisaudi wapo huru kuoa yoyote wanaetaka.Wanawake wa saudia hawaruhusiwi kuendesha magari na kama anatakiwa kutoa ushahidi mahakamani inatakiwa atafute mwanaume amuwakilishe,na akilazimika sana,ushahidi wa wanawake wawili ndo unalinganishwa wa mwanaume mmoja. Mgeni haruhusiwi kununua mali yoyote hata kama ni nyumba bila kumshirikisha mgeni. Mgeni hafikiriwi kupata kazi nzuri yoyote zaidi ya Msaudi,haijalishi ana vigezo na elimu kiasi gani. Ni ngumu kupata uraia wa nchi hii hata kama umeishi muda mrefu kiasi gani,mgeni katika nchi hii unachukuliwa kama mtumwa tu. Raia wake wanadharau kubwa sana kwa binadamu wengine.

3) INDIA
Wahindi wanaanza 'kwa kumalizana' kubaguana wao kwa wao kabla hawajaanza na mgeni.Wanaanza kubaguana kwa tofauti ya dini zao(muslim,buddha,sikh,hindu etc)..hii husababisha mauaji makubwa ya halaiki kwa kubaguana tu.Halafu wanaanza kubaguana kwa ukanda..wahindi waliotoka kusini ni masikini sanakuliko wa kaskazini,kusini ni eneo linaloongoza kwa watu kujiua (suicide) kwaajili ya njaa,dhiki na madeni. Halaf wanafata kubaguana kwa sababu ya rangi,mhindi mwenye ngozi nyeusi anabaguliwa sana na wahindi wenzake,kuna baadhi ya wahindi weupe kutoka kwenye matabaka ya juu hawako tayari kuongea na mhindi mwenye rangi nyeusi.
Wahindi pia wanabaguana kwa kufuata madaraja matatu ya binadamu (caste),ambayo raia yoyote anayeangukia katika madaraja hayo sio rahisi kuchomoka,maana yamewekwa katika mfumo wa miaka maelfu na maelfu na watu wanajuana.Madaraja hayo ni
i) Daraja la juu(Brahamans)- Hawa ndio wale ambao ni matajiri vizazi na vizazi,wafanyabiashara wa dhahabu,chuma na wamilki wa utajiri wa aina mbalimbali (Hawa nao wamo katika makabila 12 na kila kabila limespecialize katika biashara fulani toka dahari)
ii) Daraja la kati- Hawa ni wale wamilki wa uchumi wa kati (mabucha,saloni,garage,seremala nk)
iii) Daraja la chini-Hawa ni wale kajamba nani ambao ni masikini na wanafanya kazi za chini kama kushona viatu,kubeba mizigo,kuosha vyoo nk..
Sasa hao ambao ni daraja la chini 'low caste' au 'untouchable' kama wanavyoitwa,wananyanyapaliwa kiasi kuna mtu anaona hata kuwapa mkono tu ni kujitafutia mikosi..na ndio kundi kubwa kuliko hayo mengine.

4) ISRAEL
Wayahudi wana sera yao ya kibaguzi ya kizayuni(zionism),ambayo Fuadmondeo anakaririwa akisema "Uzayuni ni mfumo mbaya na wa ubaguzi kuliko wote duniani".Wazayuni wanaamini wao ndio watoto wa Mungu na ni bora kuliko binadamu wengine wote.Wayahudi Waisrael wanawabagua waisrael wenzao kutoka Ethiopia,ambao ni kizazi cha nabii Suleiman na Malkia wa Sheba.Wamekuwa pia wakiwabagua majirani zao na watu mbalimbali kutokana na imani yao ya kizayuni.

5) AUSTRALIA
Waustralia ni wabaguzi kwa wenyeji wao waliowakuta katika ardhi ya Australia ambao wanaitwa Aborigines.Mpaka kufikia mwaka 1969 waustralia walikuwa hawawatambui wenyeji wao na walikuwa wakifanya vita na kuwaua.Pia hata sasa kumekuwa na ubaguzi kwa watu wanaotoka Asia na Afrika, kuna maeneo kama beach na maduka hawawahudumii watu weusi.

6) Serbia
Nchi nyingi za ulaya mashariki zimekuwa zina ubaguzi wa hali ya juu kwa watu weusi,ajabu ni nchi masikini tu lakini Serbia nayo ni kinara wa ubaguzi duniani.

7) UJERUMANI
Wajerumani ni wabaguzi wakubwa, huwa wanajitapa waziwazi kuwa Mungu alivyoanza kuumba binadamu alianza kwa kuwaumba wao wadachi kwanza (Aryan race).Wanaamini wao ndio uzao bora zaidi duniani,ni watu wenye superiority complex. Kitendo cha dunia nzima 'kuwachangia kuwapiga' katika vita kuu mbili za dunia na bado wakajijenga tena mpaka kuwa taifa tajiri lenye nguvu ya uchumi kuliko nchi yoyote ya ulaya, inawafanya wajione wao ni superior race.Hii huwafanya kuwadharau watu wa mataifa mengine.

8) KOREA KASKAZINI
Nchi hii ina ubaguzi mkubwa..hii inaweza kuwa ni kwa sababu ya itikadi na propaganda za serikali yao na pia kwaajili ya kukosa mwingiliano na mataifa mengine.Inawabagua watu wa Korea kusini na watu wa mataifa mengine ya Asia na Afrika.

9) ARGENTINA
Katika nchi ya Argentina kuna ubaguzi mkubwa kwa misingi ya dini,rangi,jinsia nk.Pia wanawabagua walatini wenzao vibaya na watu weusi.

10) URUSI
Urusi pia inaingia kwenye orodha ya nchi yenye ubaguzi kwa watu weusi na hata wazungu wenzao wa mataifa mengine.

POLAND pia imo kwenye list. Nakumbuka mwaka 2013 nilikuwa Poland, tulienda restaurant Kula watu wote wakatugeukia na kuanza kututeta. Siku nyingine tulienda Club, tulipata shida sana maana hata Malaya tu hawana muda na sisi. Kuhudumiwa kwenyewe shida tupu.
 
Nawasalimia wakuu wangu,

Ningependa tuangalie nchi 10 duniani zinazoongoza kwa ubaguzi wa hali ya juu dhidi ya binadamu wenzao kwa misingi ya rangi za ngozi zao,hali ya kiuchumi,dini,jinsia na asili (nationality).

1) MAREKANI
Marekani ndio kinara wa nchi inayoongoza kwa ubaguzi katika vigezo mbalimbali. Ubaguzi wa kwanza ulianza kwa wamarekani wageni walipookuwa wakiwaua kwa wingi kama nyani wenyeji wenye nchi ambao ni wahindi wekundu (Red Indians),ambapo waliendesha vita mbalimbali za kuwafuta katika nchi ya marekani.
Ubaguzi mwingine mkubwa ni ubaguzi wa rangi kwa watu weusi,kwasababu weusi wengi babu zao walipelekwa huko kama watumwa kwenda kufanya kazi kwenye mashamba ya wazungu na majumbani.Toka enzi hizo mtu mweusi ameonekana kama sio binadamu kamili.Japo ubaguzi wa rangi ulipigwa marufuku miaka mingi iliyopita lakini mpaka sasa kumekuwa na ubaguzi mkubwa ukiendelea.Kuna ubaguzi mwingine ambao ni wa kisiasa..nafasi nyingi za nchi kama mahakama kuu,jeshini,CIA,serikalini kumekuwa na ubaguzi nafasi hizo zishikiliwe na watu weupe ilikudumisha (white supremacy),pia ubaguzi umekuwepo wa kijamii,kidini,kiuchumi na mfumo wa kumiliki nyumba.Mpaka sasa kuna watu weupe wanathamini mbwa na farasi wao kuliko binadamu wenzao.

2) SAUDI ARABIA
Hii ndo nchi inayosemekana inaongoza kwa ubaguzi duniani kwa hali ya juu, ule wa wazi wazi na wa moja kwa moja bila hata kujaribu kufichaficha. Wenyeji wa Saudi Arabia hawapo tayari kuona mgeni akiwa anamiliki vitu vya kifahari kuliko wao kama magari,nyumba nk..uvumilivu huo hawana. Wanawake wa Kisaudia wamekatazwa wasiolewe na mgeni wa kutoka mataifa mengine,wakati wanaume wa Kisaudi wapo huru kuoa yoyote wanaetaka.Wanawake wa saudia hawaruhusiwi kuendesha magari na kama anatakiwa kutoa ushahidi mahakamani inatakiwa atafute mwanaume amuwakilishe,na akilazimika sana,ushahidi wa wanawake wawili ndo unalinganishwa wa mwanaume mmoja. Mgeni haruhusiwi kununua mali yoyote hata kama ni nyumba bila kumshirikisha mgeni. Mgeni hafikiriwi kupata kazi nzuri yoyote zaidi ya Msaudi,haijalishi ana vigezo na elimu kiasi gani. Ni ngumu kupata uraia wa nchi hii hata kama umeishi muda mrefu kiasi gani,mgeni katika nchi hii unachukuliwa kama mtumwa tu. Raia wake wanadharau kubwa sana kwa binadamu wengine.mabala yote yametajwa, kasolo Africa tu, karibuni wageni na wenyeji, karibuni weupe na weusi, karibuni wote maana Afrika ni mahali salama pa kuishi,hakuna ubaguzi.

3) INDIA
Wahindi wanaanza 'kwa kumalizana' kubaguana wao kwa wao kabla hawajaanza na mgeni.Wanaanza kubaguana kwa tofauti ya dini zao(muslim,buddha,sikh,hindu etc)..hii husababisha mauaji makubwa ya halaiki kwa kubaguana tu.Halafu wanaanza kubaguana kwa ukanda..wahindi waliotoka kusini ni masikini sanakuliko wa kaskazini,kusini ni eneo linaloongoza kwa watu kujiua (suicide) kwaajili ya njaa,dhiki na madeni. Halaf wanafata kubaguana kwa sababu ya rangi,mhindi mwenye ngozi nyeusi anabaguliwa sana na wahindi wenzake,kuna baadhi ya wahindi weupe kutoka kwenye matabaka ya juu hawako tayari kuongea na mhindi mwenye rangi nyeusi.
Wahindi pia wanabaguana kwa kufuata madaraja matatu ya binadamu (caste),ambayo raia yoyote anayeangukia katika madaraja hayo sio rahisi kuchomoka,maana yamewekwa katika mfumo wa miaka maelfu na maelfu na watu wanajuana.Madaraja hayo ni
i) Daraja la juu(Brahamans)- Hawa ndio wale ambao ni matajiri vizazi na vizazi,wafanyabiashara wa dhahabu,chuma na wamilki wa utajiri wa aina mbalimbali (Hawa nao wamo katika makabila 12 na kila kabila limespecialize katika biashara fulani toka dahari)
ii) Daraja la kati- Hawa ni wale wamilki wa uchumi wa kati (mabucha,saloni,garage,seremala nk)
iii) Daraja la chini-Hawa ni wale kajamba nani ambao ni masikini na wanafanya kazi za chini kama kushona viatu,kubeba mizigo,kuosha vyoo nk..
Sasa hao ambao ni daraja la chini 'low caste' au 'untouchable' kama wanavyoitwa,wananyanyapaliwa kiasi kuna mtu anaona hata kuwapa mkono tu ni kujitafutia mikosi..na ndio kundi kubwa kuliko hayo mengine.

4) ISRAEL
Wayahudi wana sera yao ya kibaguzi ya kizayuni(zionism),ambayo Fuadmondeo anakaririwa akisema "Uzayuni ni mfumo mbaya na wa ubaguzi kuliko wote duniani".Wazayuni wanaamini wao ndio watoto wa Mungu na ni bora kuliko binadamu wengine wote.Wayahudi Waisrael wanawabagua waisrael wenzao kutoka Ethiopia,ambao ni kizazi cha nabii Suleiman na Malkia wa Sheba.Wamekuwa pia wakiwabagua majirani zao na watu mbalimbali kutokana na imani yao ya kizayuni.

5) AUSTRALIA
Waustralia ni wabaguzi kwa wenyeji wao waliowakuta katika ardhi ya Australia ambao wanaitwa Aborigines.Mpaka kufikia mwaka 1969 waustralia walikuwa hawawatambui wenyeji wao na walikuwa wakifanya vita na kuwaua.Pia hata sasa kumekuwa na ubaguzi kwa watu wanaotoka Asia na Afrika, kuna maeneo kama beach na maduka hawawahudumii watu weusi.

6) Serbia
Nchi nyingi za ulaya mashariki zimekuwa zina ubaguzi wa hali ya juu kwa watu weusi,ajabu ni nchi masikini tu lakini Serbia nayo ni kinara wa ubaguzi duniani.

7) UJERUMANI
Wajerumani ni wabaguzi wakubwa, huwa wanajitapa waziwazi kuwa Mungu alivyoanza kuumba binadamu alianza kwa kuwaumba wao wadachi kwanza (Aryan race).Wanaamini wao ndio uzao bora zaidi duniani,ni watu wenye superiority complex. Kitendo cha dunia nzima 'kuwachangia kuwapiga' katika vita kuu mbili za dunia na bado wakajijenga tena mpaka kuwa taifa tajiri lenye nguvu ya uchumi kuliko nchi yoyote ya ulaya, inawafanya wajione wao ni superior race.Hii huwafanya kuwadharau watu wa mataifa mengine.

8) KOREA KASKAZINI
Nchi hii ina ubaguzi mkubwa..hii inaweza kuwa ni kwa sababu ya itikadi na propaganda za serikali yao na pia kwaajili ya kukosa mwingiliano na mataifa mengine.Inawabagua watu wa Korea kusini na watu wa mataifa mengine ya Asia na Afrika.

9) ARGENTINA
Katika nchi ya Argentina kuna ubaguzi mkubwa kwa misingi ya dini,rangi,jinsia nk.Pia wanawabagua walatini wenzao vibaya na watu weusi.

10) URUSI
Urusi pia inaingia kwenye orodha ya nchi yenye ubaguzi kwa watu weusi na hata wazungu wenzao wa mataifa mengine.
 
Iran sio nchi ya kiislamu na hata uislamu wao ni wa kishia umesema sio nchi ya kiislamu then unasema uislamu wao wa kishia sasa hapo huoni kama huo ni ubaguzi???je uislamu halisi ni uislamu upi??mwisho uache itikadi kali
Narudia tena na tena kusisitiza waafrika si wakristo wala waislam, Africans are just Africans.
Tusisahaulishwe na ajali za kihistoria, yani mfano wazungu wangeipenda pwani wapwani wote tungekua wakristu na waarabu wangeipenda bara, wabara wote tungekua waislam.
Jitambue mtu mweusi, unatumiwa kama karatasi ya msalani!
 
Huko.Marekani watu weusi waliuliwa sana na Ku Klux Klan, hata leo bado wanauwawa,

Huko Saudia ndio washenzi wa kutupa, hawana mfano kabisa kama dhambi ya ubaguzi inakupeleka Motoni wasaudia hakuna atakepona
 
Hata Tz ubaguzi upo sana,sema msingi uliowekwa na rais wa awamu ya kwanza walau umeleta usawa kwa kiasi fulani.
 
Ubaguzi ni sehemu ya maisha kwa viumbe hao na viumbe visivyo hai... Hata Mafuta hayachanganyikani na maji... vile vile mercury ndio haitaki kuchanganyika na chochote zaidi yake...

Hata Ndege wanaofanana huruka peke yao
 
Ongezeko kubwa kati ya walichonacho na wasio nacho ni kubwa mno, hii inapelekea ubaguzi kati ya mtu na mtu, jamii kwa jamii (ukabila), taasisi kwa taasisi(udini), nchi kwa nchi na bara kwa bara nk.
 
Top 12 Most Racist Countries in the World

As humans, we have come a long way and we have overcome a lot of great difficulties. Be it war, disease, natural calamities, man-made disasters, you name it and we have crossed it. But over all these years, we seem to have missed the point that all the tragedies that we come to face with are making. It is us humans and the hate we broil so passionately within ourselves, that causes most of the destruction. All though the international community is doing its best to spread the message of love, it seems to be falling on deaf ears – rape, murders, racism, homophobia, war crimes are everyday events even today. And out of these, racism is something that no one deserves to endure. Racism is basically prejudice and discrimination against the people of a certain race. Although we have gotten over the radical racism, it still prevails in many parts of the world Here are some of the most racist countries in the world –

12. South Africa

A country can only do so much to end racism and it is a rather sad and a heart-breaking fact that racism in South Africa has out-lived Mandela, who tried so hard all his life to end racism in the country. Thanks to the Anti-Apartheid movement, the legal framework of the nation has been changed and now racism is illegal but it is still a fact of life. People in South Africa are known to be racists and in some places, rates of products and good are decided depending on the race of a person. Recently, a group of people who were inciting violence against White were caught in SA. It just goes to show that a thing like racism is something beyond a legal framework.

11. Saudi Arabia

Being a rich country, Saudi Arabia has some obvious advantages over the poor and the developing nations. But Saudi Arabia exploits these benefits to reap it all for itself. Saudi Arabia has been known to have laborers from developing countries like Bangladesh, India, Pakistan etc, and these people are treated and are living in sub-human conditions. Apart from this, the Saudi nationals are racist towards the poorer Arab countries and recently, after the Syrian revolution, many Syrians have taken refuge in Saudi and are treated very badly. The sad part is that these victims can go nowhere with their grievances.

10. United States of America

The land of the free and the land of the brave also happens to be the land of some of the most racist people in the world. Although the picture we see of USA is through a rose-tinted glass and it all seems flowers and butterflies, the actual case is quite different. In the Deep South and Mid-West regions like Arizona, Missouri, Mississippi etc, racism is an everyday thing. Be it against Asians, Africans, South Americans or even the actual people of USA – the Native Americans. Cases of hate and hate due to color of skin are ever-increasing and unless we change the mentality of the people, no law is going to change anything.

9. United Kingdom

We guess they probably still have superiority complex given that at one point of time in history, the British almost ruled the entire world. UK is one of the most racist countries in the world even today, especially racist towards what they call “Desi” people. This includes people hailing from the Indian subcontinent. Apart from that, they show hatred towards Americans, whom they spitefully call ‘Yankees’ and towards French, Romanians, and Bulgarians etc. Shockingly, even today, the propaganda of a political party in the UK is based on the lines of whether a person would want immigrants as their neighbors which leads to hate towards people and towards racism.

8. Australia

Australia doesn’t seem like a country that can be racist but no one knows the bitter side better than Indians. Most of the people who live in Australia have migrated there from other countries. And yet, they feel that any new person who migrates or moves to Australia to make a living should return to their home countries. In 2009, there were many cases in Australia wherein Indians were targeted and harassed. Almost 100 cases were filed and in 23 cases, there were racial undertones. The laws were made stricter and the situation has gotten much better now. But such incidences only go on to show how selfish us human beings can become to satisfy our own needs while harming others.

7. Rwanda

The Rwanda genocide of 1994 is a mark of shame in the human history. It was a ghastly time where two ethnic races of Rwanda were at loggerheads and this conflict resulted in the outright and blatant slaughtering of over 800,000 people in Rwanda. The two tribes, Tutsi and Hutu were the ones involved where the Tutsi tribe was the victims and the Hutu tribe was the perpetrators. Tensions exist between the two even today and even a small spark can ignite the fore of blood and hate in the country.

6. Japan

Japan today is a very well developed first world country. But the fact that it still suffers from xenophobia sets it back by many years. Although according to Japanese laws and regulation, racism and discrimination is not allowed, but the government itself practices what is called “positive discrimination”. It has very low tolerance for refugees and people from other countries. It is also a known fact that Japan tries its best to not allow entry to Muslims in their country as they think that Islam is not compatible with their culture. Such blatant cases of discrimination are prevalent in the country and nothing is being done about it.

5. Germany

If you sow hate, you will only reap hate and Germany stands as the living example of what influencing people’s mind with hate can do. Today, long after the reign of Hitler, Germany remains one of the most racist countries in the world. They have a sense of hatred towards all foreigners and still believe in German supremacy. The neo-Nazis still exist even today and openly talk of anti-Semitic ideas. The believes of these Neo-Nazis can come as a rude awakening to those who think that Germany’s racist tendencies died with Hitler. The German Government and the UN are both doing their best to retain these underground activities.

4. Israel

Israel has been in the midst of controversy for many many years now. And it has been so because of the crimes committed against the people of Palestine and the Israeli Arabs. After the World War 2, a new state was carved for the Jews and the original inhabitants of the land were forced to become refugees in their own land. Thus began the ongoing conflict between Israel and Palestine. But today, we can very well see how Israel has been ill-treating the people and discrimination on any grounds.

3. Russia

In Russia, a lot of Xenophobia and ‘nationalist’ feelings still prevail. Even today, Russians are racist towards the people whom they feel are not ethnically and truly Russians. Apart from that, they are racist towards Africans, Far Asians, Caucasians, Chinese etc. It culminates with hate and later develops into gross crimes against humanity. The Russian government, along with UN have tried to do their best to stop such incidences of racism but they still continue to take place in not only the remote places but also big cities.

2. Pakistan

Pakistan is an Islamic majority country and even then, there are many conflicts that take place there between the two sects of Shia and Sunni. There have been crimes between the two sects for ages and nothing is being done about it. Apart from that, the long war with the neighbor India is something that is known to all the world. There have been incidences of racism between Indians and Pakistanis. Apart from that, other races like Africans and Latin Americans are also discriminated against.

1. India

A land of so much diversity is also the most racist country in the world. Indians are the most racist people in the world and even today, a child born in the Indian family is taught to worship anyone with white skin and look down upon anyone with dark skin. And thus was born the Indian racism against Africans and other dark skinned people. A fair skinned foreigner gets treated like a god and a dark skinned one is treated very badly.Among Indians themselves too there are conflicts between castes and people from different regions like the problem between Marathi Manoos and Biharis. And yet, Indians won’t accept this fact and boast about the culture and diversity and acceptance. It is high time we open our eyes to what the situation truly is and take the saying “Athithi Devo Bhava” (Guest is God) in a positive manner.

Such a list can only show us that no matter what laws and rules exist, no paper can change us. We have to change ourselves and our mentality for a better tomorrow and to ensure that no lives are further harmed for the selfishness of for the egotism of some.

Source.Top 12 Most Racist Countries in the World - Listovative

Hii list Ndio ya ukweli, India kungekuwa na namba zaidi ya 1 basi wangeshika wao,
Ila nachowapenda wadosi ubaguzi unaanzia wao kwa wao
 
kwasasa hivi hata tz ipo ktk kapu la ubaguzi tena ubaguzi mbaya sana.kazi zinatolewa kwa ubaguzi shule watoto wetu wanasoma kwa matabaka vyeo watu wanapata kwa matabaka na hata kuangalia vyama.zamani tulikua tunaishi km ndugu siku hizi watz tunanyosheana vidole huyu dini gani huyu kabila gani.ubaguzi wa nchi hii ni mkubwa tofauti na wengi tujuavyo.
 
Back
Top Bottom