Nchi 10 za Afrika zenye akiba kubwa ya Dhahabu kwa mujibu wa Statista

Sisi Majuha tunauza tu Kama njegere pori..Kukosa maarifa ni janga ukiangalia mfumo wa uongozi nchi hii Watu wa hovyo kabisa wanakula kama mafisi hawajui lolote na hawajali
 
Nchi 10 za Afrika zenye akiba kubwa ya Dhahabu kwa mujibu wa Statistics

1. Algeria 🇩🇿 - tani 174 za kipimo
2. Afrika Kusini 🇿🇦 - tani 125 za metric
3. Libya 🇱🇾 - tani za metric 117
4. Misri 🇪🇬 - tani 80.73 za metric
5. Moroko 🇲🇦 - tani za metric 22.12
6. Nigeria 🇳🇬 - tani 21.37 za metric
7. Mauritius 🇲🇺 - tani 12.44 za metric
8. Ghana 🇬🇭 - tani 8.74 za metric
9. Tunisia 🇹🇳 - tani 6.84 za metric
10. Msumbiji 🇲🇿 - tani 3.94 za metric

View attachment 2259063
Tanzania na Congo visiwa vya amani hatumo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom