- Thread starter
- #21
SawaUongozi wa kuongoza makondoo una shida gani boss? Unataka kufanya kuongoza ni jambo gumu sana. Ukiona mtu anasema kuongoza ni kugumu ujue kaingia kwenye madaraka kwa kushurutisha ili kusaka ulaji, lakini hana Karama ya uongozi.