USA kweli inaongoza dunia hii.
Kivipi mkuu...
BTW, NBC wana kazi kubwa sana ya kufanya kabla hawajanishawishi nirudi huko...
Visa na MasterCard ni kampuni za wapi? Azerbaijan?
owkee... Nilikuwa sifahamu mzee...
Kwa post yako leo nimeongeza ufahamu wangu... Thanks
Wale ambao card zao za NBC zilishachoka wana advantage zaidi, kwani NBC Visa + MasterCard sasa zinatolewa bure bila malipo. Changamkieni muwe na uwezo wa kuchukua pesa kwenye ATM za mabenki tofauti (ila kwa gharama zaidi kila muamala) ila walau itawasaidia wale wanaokuwa na shida ya fedha huku ATM za benki yao ikiwa haifanyi kazi. Lakini ndo hivyo, kama watu mlizoea kutofautisha ATM Card zenu kwa kuangalia picha, kwa sasa mtalazimika mkariri namba za card, kwani hakuna picha, vinginevyo unaweza ukajikuta umebeba kadi ya mkeo au mumeo, unafika kwenye ATM unashangaa umekosea password ! Sana sana signature ndio itasaidia kutofautisha, ila nayo ipo upande wa nyuma! Na wale mnaosafiri nje ya nchi sasa mna nafasi zaidi ya uhakika wa kuchukua fedha mkiwa huko. KAZI KWENU !!
Wazee wa mafeki/China nao wameanzisha card network yao inaitwa Cha Ching, wanataka ku-compete na Visa, Master Card, Discovery na American Express. Subirini hiyo nayo
Visa na MasterCard ni kampuni za wapi? Azerbaijan?
Hiyo ya kichana wala sintatia mkono. Jinsi majumba yanvyoungua na minyaya yao feki, si ndo itakuwa unatoa hela kwenye atm kumbe ndo inahamia kwao uchinani. Akhaaa, kwa hilo watakuwa wameinvest kihasara kwenye hii area
Wale ambao card zao za NBC zilishachoka wana advantage zaidi, kwani NBC Visa + MasterCard sasa zinatolewa bure bila malipo. Changamkieni muwe na uwezo wa kuchukua pesa kwenye ATM za mabenki tofauti (ila kwa gharama zaidi kila muamala) ila walau itawasaidia wale wanaokuwa na shida ya fedha huku ATM za benki yao ikiwa haifanyi kazi. Lakini ndo hivyo, kama watu mlizoea kutofautisha ATM Card zenu kwa kuangalia picha, kwa sasa mtalazimika mkariri namba za card, kwani hakuna picha, vinginevyo unaweza ukajikuta umebeba kadi ya mkeo au mumeo, unafika kwenye ATM unashangaa umekosea password ! Sana sana signature ndio itasaidia kutofautisha, ila nayo ipo upande wa nyuma! Na wale mnaosafiri nje ya nchi sasa mna nafasi zaidi ya uhakika wa kuchukua fedha mkiwa huko. KAZI KWENU !!
USA kweli inaongoza dunia hii.
Ndiyo maana Australia kwa sasa kuna kampeni ya kutengeneza cards local kwa ajili ya ku-combat fraud! But as of now it is all the way VISA, Mastercard, American Express etc.
Bila kusahau Discover card...
Gaddaff alikuwa anataka kututoa huko lakini tukampuuzia!! Sasa naweza kusema "tume - reset" tena. Kama ilikuwa inakaribia kuwa 1, now we are back to 0. Hahahah!

What do we have to do with Gaddafi?
upuuzi kabisa. alitaka kukutoa huko akupeleke wapi?[/QUOTE]
United States of Africa.