mimi mtakatifu
JF-Expert Member
- Oct 11, 2019
- 304
- 660
- Thread starter
- #21
Sawa Madame, nitawacheki hapo ushuani.Jaribu kucheck kwa Pablo Perfumes, yuko City Mall
Sawa Madame, nitawacheki hapo ushuani.Jaribu kucheck kwa Pablo Perfumes, yuko City Mall
Barabara ya Lumumba DSM, pale lilipo tawi la bank ya CRDB almost opposite na bank. Ukiuliza tu maeneo hayo utaonyeshwa. Jama ni maarufu sana kwa perfumesKwa Yusuf ni wapi?
Unaweza ukaenda ndani ya kituo cha SGR Dar, kuna duka la perfumes kali mle. Nadhani ni floor ya kwanzaMwenye kufahamu wapi naweza pata hizi perfume za kiarabu. Nimezitafuta sana bila mafanikio kuna duka walikuwa wanauza mtaa wa jangwani halipo tena siku hizi.
1. Al Rehab Avenue
2. Al Rehab Silver
3. Rasasi La Yuqawam
🤣🤣🤣🤣🤣Kama Kuna Yusuf Yoyote Unamfahamu Wewe Nenda
Mbona hayo majina ni kama vile perfume za watu waliopo sober houseMwenye kufahamu wapi naweza pata hizi perfume za kiarabu. Nimezitafuta sana bila mafanikio kuna duka walikuwa wanauza mtaa wa jangwani halipo tena siku hizi.
1. Al Rehab Avenue
2. Al Rehab Silver
3. Rasasi La Yuqawam
Unazo unauza, njoo na ile ID nyingine uwauzie.Mwenye kufahamu wapi naweza pata hizi perfume za kiarabu. Nimezitafuta sana bila mafanikio kuna duka walikuwa wanauza mtaa wa jangwani halipo tena siku hizi.
1. Al Rehab Avenue
2. Al Rehab Silver
3. Rasasi La Yuqawam
Bei zake zipoje mkuu?Nenda mtaa wa Lumumba, Tawi la crdb karibu na jengo la CCM. Kabla ya crdb kuna duka la furniture nadhani ni furniture centre wale mtaa huo huo shuka chini kama unaenda Kkoo. Kama jengo la nne au la tano upande wako wa kushoto utaona Duka la perfume kuna jamaa mwarabu anapiga chafya kama la ugoro ndo hapo hapo
Una changamoto ya afya ya akili.Unazo unauza, njoo na ile ID nyingine uwauzie.
Sawa nimekusoma mkubwa wa kazi.Unaweza ukaenda ndani ya kituo cha SGR Dar, kuna duka la perfumes kali mle. Nadhani ni floor ya kwanza
Many thanks mkuu.Barabara ya Lumumba DSM, pale lilipo tawi la bank ya CRDB almost opposite na bank. Ukiuliza tu maeneo hayo utaonyeshwa. Jama ni maarufu sana kwa perfumes