Nashukuru mkuu, ngoja nijaribu hiyo ya kuweka kwenye text mi lengo langu ni kazi iwe kwenyemfumo wa Epub tu. Maana naona dunia inatoka kwenye pdf.Jaribu Kutumia mfumo text, na lengo la epub ni kuwa formless ili uweze kusoma na kifaa chochote, kama unamaanisha ile alignment ya word sidhani kama kwenye epub inawezekana
Salute mkuu, nawezaje kuyatoa maandishi yaliyoandikwa kwenye karatasi na ikupigwa picha .. nataka yawe kwenye mfumo wa textJaribu Kutumia mfumo text, na lengo la epub ni kuwa formless ili uweze kusoma na kifaa chochote, kama unamaanisha ile alignment ya word sidhani kama kwenye epub inawezekana
Salute mkuu, nawezaje kuyatoa maandishi yaliyoandikwa kwenye karatasi na ikupigwa picha .. nataka yawe kwenye mfumo wa text