Nawezaje kuweka maandishi yawe kwa mtindo wa EPUB?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,886
Nikichukua pdf au word na kuconvett kwenda epub kazi inakosa kabisa mpangilio. Wataalamu kuweka kazi kwa mtindo wa Epub inafanyikaje?
 
Jaribu Kutumia mfumo text, na lengo la epub ni kuwa formless ili uweze kusoma na kifaa chochote, kama unamaanisha ile alignment ya word sidhani kama kwenye epub inawezekana
Nashukuru mkuu, ngoja nijaribu hiyo ya kuweka kwenye text mi lengo langu ni kazi iwe kwenyemfumo wa Epub tu. Maana naona dunia inatoka kwenye pdf.
 
Jaribu Kutumia mfumo text, na lengo la epub ni kuwa formless ili uweze kusoma na kifaa chochote, kama unamaanisha ile alignment ya word sidhani kama kwenye epub inawezekana
Salute mkuu, nawezaje kuyatoa maandishi yaliyoandikwa kwenye karatasi na ikupigwa picha .. nataka yawe kwenye mfumo wa text
 
Inawezekana Mkuu kama kweny simu yako una Google photos

Una click picha unayo taka then utaenda kweny icon ya Google lens ipo Kwa chini , icon inayo fanana na ya camera utapata

Details zote za iyo picha hayo maandishi unaweza kuya copy ukayapeleka kweny text , au ukaya Translate au pia unaweza kupata details za picha kupitia Google.
Salute mkuu, nawezaje kuyatoa maandishi yaliyoandikwa kwenye karatasi na ikupigwa picha .. nataka yawe kwenye mfumo wa text
 
Back
Top Bottom