Nawezaje kuwa informer wa Usalama wa Taifa?

Jamani wana ndugu kuna tetesi huwa nazikia mitaani mtu unaweza kufanya kazi za usalama kama informer sehemu kama vile masokoni, barabarani, uswahilini, kumbi za starehe n.k

Kwa jinsi nilivyosikia ni kuwa informer wa usalama wa taifa yeye anafanya kazi hata kama hajapitia mafunzo ya kijeshi ila wewe unapewa short training jinsi ya kutafuta data na kufanya submission ya report .

Jamani kama mtu humu ndani anafahamu jinsi ya kupata hizi nafasi tusaidiane kwa hali hii wengine hapa tupo tayari hata kuonekana machizi ili mradi hela ya mboga isikosekana hivo anayefamu atujulisheeee
Hapo ndio umeharibu kila kitu.. Hata kama wangekuwa wanatoa kazi kihuni kama unavyodhani na kuhadithiwa huko vichochoroni basi wewe ingekupita
 
Wale jamaa huwa hawatafutwi. Wao ndio hukutafuta wewe.....kupitia reccomendations za wenzao (vyuoni, nyumba za ibada, mtaani etc) kabla hawajaanza kukuivestigate fully na kukufuata. Kama hujatafutwa mpaka sasa, basi wewe hutoshi kwa vigezo na masharti yao.
 
Jamani wana ndugu kuna tetesi huwa nazikia mitaani mtu unaweza kufanya kazi za usalama kama informer sehemu kama vile masokoni, barabarani, uswahilini, kumbi za starehe n.k

Kwa jinsi nilivyosikia ni kuwa informer wa usalama wa taifa yeye anafanya kazi hata kama hajapitia mafunzo ya kijeshi ila wewe unapewa short training jinsi ya kutafuta data na kufanya submission ya report .

Jamani kama mtu humu ndani anafahamu jinsi ya kupata hizi nafasi tusaidiane kwa hali hii wengine hapa tupo tayari hata kuonekana machizi ili mradi hela ya mboga isikosekana hivo anayefamu atujulisheeee
Njoo Pm Mkuu Niku connect.
 
First assignment: Public Service. Public servant.
Raia Mwema.

Jitume na uitumikie jamii.

Anza na kuwa Jasusi wa kufichua Mtandao wa Mashoga. Utakuwa umelifanyia Taifa letu na watu wetu jambo kubwa sana la Kizalendo. Wanaowabaka watoto na kuwatayarisha kuwa Mashoga. Shirikiana na Jeshi la Polisi.
Utapewa nishani ya kulitumikia Taifa na mbele ya Mungu pia ataridhika na wewe.
Pia utengeneze "Lobby" ya kufuatilia kesi za watuhumiwa na kuhakikisha wanapewa adhabu kali inayostahili. Okoa maisha ya watoto wetu.
 
Wengi wanaipenda hiyo kazi kwa kusoma visa vya kwenye riwaya za kipelelezi...

Uzuri ni wachache waipendao ' hubahatika' kuipata wengi ni wale wasiojua hata kama kuna kitu hicho ndo huipata...

Pia wapo wale wanaotamani waipate watusumbue mtaani kwa kujisifia hata kutapeli na kuonea...

Kwa kifupi ni kazi pendwa kwa wengi kutokana na wengi kutoijua kiundani (kero na karaha) zake...
 
Wale jamaa huwa hawatafutwi. Wao ndio hukutafuta wewe.....kupitia reccomendations za wenzao (vyuoni, nyumba za ibada, mtaani etc) kabla hawajaanza kukuivestigate fully na kukufuata. Kama hujatafutwa mpaka sasa, basi wewe hutoshi kwa vigezo na masharti yao.
Hizo recommendation zinafanyika kwa siri na ndio chanzo cha nepotism sehemu za kazi. Sitashangaa kuona huko nako kumejaa kabila moja na kinazungumzwa kilugha.

Umefika sasa wakati wa kutangaza nafasi za kazi kisha wafanye uteuzi miongoni mwa watakaokidhi vigezo na wapewe mafunzo kwa siri.
 
Umemaliza kila kitu Mkuu heko.
 
una kifua cha kutunza siri
Kabla ya kuwa na hicho "kifua" ushaambiwa anatafuta "hela ya mboga" sasa aanzie wapi kutunza siri kwa anaempa hela ya mboga au kwa anaemletea mboga mlangoni?
 
Hizo recommendation zinafanyika kwa siri na ndio chanzo cha nepotism sehemu za kazi. Sitashangaa kuona huko nako kumejaa kabila moja na kinazungumzwa kilugha.

Umefika sasa wakati wa kutangaza nafasi za kazi kisha wafanye uteuzi miongoni mwa watakaokidhi vigezo na wapewe mafunzo kwa siri.

Ili wanyarwanda na wakenya waapply usalama wa nchi uwe hatiani ehh?
 
Huko ulikopata taarifa kuwa kuna informer wa usalama wa taifa na hupewa short courses kabla hawajaanza kazi ndo watakusaidia jinsi ya kujiunga usalama wa taifa
 
Back
Top Bottom