Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,215
- 3,683
Jamani wana ndugu kuna tetesi huwa nazikia mitaani mtu unaweza kufanya kazi za usalama kama informer sehemu kama vile masokoni, barabarani, uswahilini, kumbi za starehe n.k
Kwa jinsi nilivyosikia ni kuwa informer wa usalama wa taifa yeye anafanya kazi hata kama hajapitia mafunzo ya kijeshi ila wewe unapewa short training jinsi ya kutafuta data na kufanya submission ya report .
Jamani kama mtu humu ndani anafahamu jinsi ya kupata hizi nafasi tusaidiane kwa hali hii wengine hapa tupo tayari hata kuonekana machizi ili mradi hela ya mboga isikosekana hivo anayefamu atujulisheeee