Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 2,959
- 5,060
MAOMBI...Hi guys,
Nawezaje kupata watoto mapacha?, ikiwa kuna mtu ana uelewa juu ya jambo hili naomba kufahamishwa tafadhali.
Najua humu jukwaani kuna ma great thinkers wa kutosha.
Naomba kuwasilisha.
Nazjaz huyu kijana anacheza na mimba ya mapacha. MshauriHi guys,
Nawezaje kupata watoto mapacha?, ikiwa kuna mtu ana uelewa juu ya jambo hili naomba kufahamishwa tafadhali.
Najua humu jukwaani kuna ma great thinkers wa kutosha.
Naomba kuwasilisha.
Hii bado pia ni kubet hata kama huyo bibi alikuwa na mapacha ina maana wajukuu wote watazaa mapacha?au inatokea mjukuu mmoja tu ndio atabahatika?Tafta mwanamke ambaye kwenye bibi yake alizaa mapacha
AmenMAOMBI...
Kwanini kwanza hujachangia mada Twin? 😅 Unakumbuka nimewahi kukueleza kuhusu hili?Marcostilone
Vipi twins kwenu wapo🤣🤣