kupata watoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata watoto mapacha?

    Hi guys, Nawezaje kupata watoto mapacha?, ikiwa kuna mtu ana uelewa juu ya jambo hili naomba kufahamishwa tafadhali. Najua humu jukwaani kuna ma great thinkers wa kutosha. Naomba kuwasilisha.
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanawake mjue, watoto sio big deal kwa wanaume wengi. Ukiondoka na nyodo huyo mwanaume anauwezo wa kupata watoto kama hao mia moja huko kwingine

    Habari za Sabato! Wanawake lazima mjue. Msifikiri jinsi mnavyowachukulia watoto ndivyo wanaume wanavyowachukulia. Sio kweli. Kwa wanaume wengi Watoto sio big deal kama mnavyodhani. Ni makosa makubwa kufikiri kwamba kubeba mimba umemfanyia mwanaume jambo kubwa. Hakuna kitu kama hicho. Jambo...
  3. Red black

    JamiiForums Tanzania Ukifeli kwenye hili basi tegemea kupata watoto wasio na akili mingi

    Consider hichi kipengele ili uwe na watoto wenye IQ nzuri. ============== Afya Hivyo chagua mzazi mwenza mwenye akili ili muwe na watoto wenye akili, kanuni ya mtoto wa nyoka ni nyoka ni dhahiri katika hili. Usitegemee maembe kwenye mti wa mchungwa. Lishe bora katika siku 1,000 za kwanza za...
  4. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Dkt. Aaron Mujajati: Ni ngumu kwa mwanamke kupata watoto baada ya miaka 35

    Daktari msomi sana toka Zambia, Dr Aaron Mujajati kaweka wazi kuwa ni ngumu kwa mwanamke kupata mtoto akivuka 35years. Hajasema haiwezekani ila kasisitiza kupata mtoto huambatana na changaamoto nyingi. Ikumbukwe Dr Aaron Mujajati ndo yule aliyesema kuwa hakuna ushahidi wa kisayansi kuonyesha...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Pesa zipo za kutosha, Uwezo wa kulea na kuhudumia upo, Afya za uzazi ni imara, kuna sababu ipi ya kupata mtoto moja au watatu tu ?

    Hatukatai uzazi wa mpango ni muhimu, tunazalisha idadi ya watoto tunaoweza kuwamudu na kuwahudumia. Tatizo linakuja mna uwezo wa kuhudumia hata watoto nane lakini unakuta watu wanaamua kuzaa mtoto moja tu hadi watatu tu. INASHANGAZA !! Mimi nina watoto wanne tu lakini laiti ningekuwa na uwezo...
Back
Top Bottom