watoto mapacha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa watoto mapacha walio ungana kutenganishwa?

    Wakuu hivi kweli ni haki? Katika kila taarifa ninayo kutana nayo au kuisikia kuhusu mapacha walio ungana kutenganishwa ni kweli madaktari huwa wanafanikiwa katika jukumu hilo la kuwatenganisha ila huwa haichukui muda mmoja kati ya mapacha hao hufariki au wote kwa pamoja na ni wachache...
  2. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Mama ajifungua Watoto Mapacha Watano Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Wakuu, Nimeisikia hii taarifa kwamba kuna mama kajifungua watoto mapacha watano hospitali ya Taifa Muhimbili.
  3. upupu255

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Hii ni Picha ya Sadio Mané akiwa na mkewe na watoto mapacha

    Wakuu wa JamiiCheck naomba msaada wa kuthibitisha picha hii maana imesambaa sana mtandaoni, nashindwa kutofautisha kama ni halisi au AI generated.
  4. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Good News: Nimepata watoto mapacha mmoja Benjamin mwingine Netanyahu

    Karibuni duniani mashujaa Benjamin na Netanyahu, kuna nguvu kubwa kwenye majina yenu.
  5. Dr PL

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ambavyo mapacha hutokea

    Picha kwa hisani ya Google Mapacha hutokea pale ambapo yai linaporutubishwa hugawanyika mara mbili au zaidi kutoa mtoto zaidi ya mmoja au pale ambapo yai zaidi ya moja hurutubishwa na mbegu za kiume. Hali hii hutokea kwa viwango tofauti kulingana na jamii husika mfano kwa Waafrika ktk kila...
Back
Top Bottom