Nawezaje kupata simu ilioibiwa?

we mtata sanaaa
 
MREJESHO:
Wakuu nashukuru nimeipata simu yangu
Nilienda polisi kuchukua RB, baada ya hapo askari akanambia naweza kuitrack kama nataka
Akaniunganisha kwa askari wa kitengo nikampa details tukayajenga
Jana akanipigia simu nikaenda nikapewa simu yangu ila mwizi wangu sikumuona
 
Hahahaaaaaaa! mnadanganya sana watu nyie watu aisee daah!
 
ungemfungulia kesi huyo polisi ili amtaje mwizi wako awekwe ndani arudishe gharama za usumbufu na kumtandika makofi ,huyo polisi atakuwa kala hela kwa huyo mwizi.
 
ungemfungulia kesi huyo polisi ili amtaje mwizi wako awekwe ndani arudishe gharama za usumbufu na kumtandika makofi ,huyo polisi atakuwa kala hela kwa huyo mwizi.
Mkuu kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake
Sikutaka makuu ikabidi niwe mpole tu maana unaweza kukosa yote
 
Una maanisha nini?
 
Gharama uliyotumia kuitrack?

Sent from ONEPLUS 5T using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…