Nawezaje kupata ajira rasmi nchini Afrika Kusini?

Rog chimera

JF-Expert Member
Apr 28, 2018
347
546
SALAAM wanajukwaa,

Nahitaji kupata experience zenu wadau ambao mmewai kufika nchini afrika kusini ,je ni njia gani naweza kufanya nikifika SA kupata kazi kwa haraka.

Kazi nnazotaka ni zile skilled jobs eg Doctors, Engineer, Mwalimu etc.
 
Nafikiri ni kupiga course kwanza, ukiwa na acertificate zao inakuwa utelezi.
 
Back
Top Bottom