The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 8,596
- 28,054
Mungu anasaidia kamandaMgalatia mambo vp

😅😅😅😅Nikipiga nalima sana usiku mzee napeleka sana moto
Unamchoshaa mkeoNikipiga nalima sana usiku mzee napeleka sana moto
Usiombe ukimya ukuondoke bora kuwa mkimya kinywa ukikifungua kiwe kinanena ya msingi yenye kujenga kuliko kuwa muongeaji sana.Huo Ukimya wako ni kama Mimi tu aisee... Unanitesa sana huwa inafika stage najiuliza huu ukmya wangu utaisha lini nimepoteza na kukosa vitu vingi sana.
Mungu anasaidie.
Kwanza nikuulize swali mkuu. Hapo ugenini umekuja na cash au nauli. Na kilichokutoa ulipotoka nini.Yaliyonikuta kwenye maisha yameumiza moyo na nafsi yangu. Leo sitosimulia mkasa wa maisha yangu.
Maamzi niliyofanya nime relocate mkoa kuanza maisha mapya. Mkoa huu Sina ndugu ila that day nashuka stend nlimfuata Mzee mmoja tuliekua tumepanda bus moja. Nikamweleza Mzee naomba uniamini, ni mara ya kwanza ndo nafika kwenye mji huu, simjui mtu, na Sina pa kufikia. Nakamuomba anihifadhi, Mzee aliniangalia Kwa Dk kazaa akiwa ananisikuliza nikijieleza na huku amenikazia macho na kuusoma uso wangu and all my body language, akanijibu nifuate.
Aliita tax akamuelekeza driver eneo analoishi na safari ikaanza. Baada ya kama dk 15 tukaingia mtaa flani, una miti mingi, eneo tulivu halina harakati nyingi . Tax ikasimama kwenye nyumba, tukashuka na kuingia kwenye makazi hayo .
Kumbe Mzee ni police mstaafu, anaishi anaishi na familia yake ndogo. Home alikuwepo mkewe, na dada ake , wote watu wazima, na wajukuu wawili. Vijana wao wana maisha yao mikoa mingine. Kulikua na nyumba kubwa na ingine ndogo. Ile ndogo alikua anishi shamba boy. Baada ya utambulisho-mfupi Mzee akasema tutakua na mgeni huyu Kwa siku kadhaa, badae akanitambulisha Kwa shamba boy na kusema mtakua mnalala huku.
Kufupisha mkasa huu, Mzee na familia yake wamekua wakalimu. Nilipata fursa ya kumuuleza Mzee my profile and background. Kiufupi ni msomi wa level ya degree ila ndo hizi course ambazo mtu una graduate afu ukifika kitaa wewe mwenyewe ukijiuliza ulisomea nini unapata shida kupata jibu clear. Tuachane na Hilo.
Ki personality sababu ya kupigwa na maisha na changamoto za maisha nimekua introvert pro. Mkimyaa sana, usipoanzisha story hainisumbui kubaki kimyaa. Kiukweli sio kuwa ni ujeuri , ila nikiwa kimyaa najiona Niko safe zaidi ya kufungua kinywa changu .
Kwa utangulizi huu naomba Nije kwenye hoja ya msingi. Nifanyaje ili niweze kuanza maisha mapya kwenye mji mgeni kwangu, bila network ya marafiki, ndugu na jamaa. Kwa wale waliowahi pitia scenario kama hii mliwezaje kupata marafiki wapya, mambo gani ya kuzingatia unapokua ugenini Kwa watu baki waliokuamini. Njia gani za kutumia kuongeza network?
Kuna stress naipitia hadi akili haifikiri vizuri. JF naombeni muongozo
Upo sahihi kabisa ila upo ukmya mwingine upo Sasa unakua too Much hata Yale mamuzi unshindwa kufanya na kuogopa watu.Usiombe ukimya ukuondoke bora kuwa mkimya kinywa ukikifungua kiwe kinanena ya msingi yenye kujenga kuliko kuwa muongeaji sana.
Omba Mungu akusaidie uwe na uwezo mzuri wa kujisimamia na akupe hekima then uwe na hali hiyo hiyo ya ukimya,umuhimu wako utaonekana neno lako ukilitoa kwenye vikao vya familia inajulikana wazi hapa kikao alikifunga fulani na kile alichoshauri kimeleta manufaa.
Usitamani kabisa n mbaya Mno Kuna mda unakosa hata kufanya mamuzAfu Kuna wengine tunatamani kuwa wakimya tunashindwa
Mkuu wee miyeyusho kweli 🤜🏿🤛🏿😂Vuta bange ulale
DuhUsitamani kabisa n mbaya Mno Kuna mda unakosa hata kufanya mamuz
Usikae muda mrefu hapo, hangaika utafute namna ya kujitegemea, usipofanya hivyo umeshauza uhuru wako!Yaliyonikuta kwenye maisha yameumiza moyo na nafsi yangu. Leo sitosimulia mkasa wa maisha yangu.
Maamzi niliyofanya nime relocate mkoa kuanza maisha mapya. Mkoa huu Sina ndugu ila that day nashuka stend nlimfuata Mzee mmoja tuliekua tumepanda bus moja. Nikamweleza Mzee naomba uniamini, ni mara ya kwanza ndo nafika kwenye mji huu, simjui mtu, na Sina pa kufikia. Nakamuomba anihifadhi, Mzee aliniangalia Kwa Dk kazaa akiwa ananisikuliza nikijieleza na huku amenikazia macho na kuusoma uso wangu and all my body language, akanijibu nifuate.
Aliita tax akamuelekeza driver eneo analoishi na safari ikaanza. Baada ya kama dk 15 tukaingia mtaa flani, una miti mingi, eneo tulivu halina harakati nyingi . Tax ikasimama kwenye nyumba, tukashuka na kuingia kwenye makazi hayo .
Kumbe Mzee ni police mstaafu, anaishi anaishi na familia yake ndogo. Home alikuwepo mkewe, na dada ake , wote watu wazima, na wajukuu wawili. Vijana wao wana maisha yao mikoa mingine. Kulikua na nyumba kubwa na ingine ndogo. Ile ndogo alikua anishi shamba boy. Baada ya utambulisho-mfupi Mzee akasema tutakua na mgeni huyu Kwa siku kadhaa, badae akanitambulisha Kwa shamba boy na kusema mtakua mnalala huku.
Kufupisha mkasa huu, Mzee na familia yake wamekua wakalimu. Nilipata fursa ya kumuuleza Mzee my profile and background. Kiufupi ni msomi wa level ya degree ila ndo hizi course ambazo mtu una graduate afu ukifika kitaa wewe mwenyewe ukijiuliza ulisomea nini unapata shida kupata jibu clear. Tuachane na Hilo.
Ki personality sababu ya kupigwa na maisha na changamoto za maisha nimekua introvert pro. Mkimyaa sana, usipoanzisha story hainisumbui kubaki kimyaa. Kiukweli sio kuwa ni ujeuri , ila nikiwa kimyaa najiona Niko safe zaidi ya kufungua kinywa changu .
Kwa utangulizi huu naomba Nije kwenye hoja ya msingi. Nifanyaje ili niweze kuanza maisha mapya kwenye mji mgeni kwangu, bila network ya marafiki, ndugu na jamaa. Kwa wale waliowahi pitia scenario kama hii mliwezaje kupata marafiki wapya, mambo gani ya kuzingatia unapokua ugenini Kwa watu baki waliokuamini. Njia gani za kutumia kuongeza network?
Kuna stress naipitia hadi akili haifikiri vizuri. JF naombeni muongozo
Siku tegemea jibu la namna hii, never advice like u don't own a headVuta bange ulale
Nenda kwenye pombe za kienyejiYaliyonikuta kwenye maisha yameumiza moyo na nafsi yangu. Leo sitosimulia mkasa wa maisha yangu.
Maamzi niliyofanya nime relocate mkoa kuanza maisha mapya. Mkoa huu Sina ndugu ila that day nashuka stend nlimfuata Mzee mmoja tuliekua tumepanda bus moja. Nikamweleza Mzee naomba uniamini, ni mara ya kwanza ndo nafika kwenye mji huu, simjui mtu, na Sina pa kufikia. Nakamuomba anihifadhi, Mzee aliniangalia Kwa Dk kazaa akiwa ananisikuliza nikijieleza na huku amenikazia macho na kuusoma uso wangu and all my body language, akanijibu nifuate.
Aliita tax akamuelekeza driver eneo analoishi na safari ikaanza. Baada ya kama dk 15 tukaingia mtaa flani, una miti mingi, eneo tulivu halina harakati nyingi . Tax ikasimama kwenye nyumba, tukashuka na kuingia kwenye makazi hayo .
Kumbe Mzee ni police mstaafu, anaishi anaishi na familia yake ndogo. Home alikuwepo mkewe, na dada ake , wote watu wazima, na wajukuu wawili. Vijana wao wana maisha yao mikoa mingine. Kulikua na nyumba kubwa na ingine ndogo. Ile ndogo alikua anishi shamba boy. Baada ya utambulisho-mfupi Mzee akasema tutakua na mgeni huyu Kwa siku kadhaa, badae akanitambulisha Kwa shamba boy na kusema mtakua mnalala huku.
Kufupisha mkasa huu, Mzee na familia yake wamekua wakalimu. Nilipata fursa ya kumuuleza Mzee my profile and background. Kiufupi ni msomi wa level ya degree ila ndo hizi course ambazo mtu una graduate afu ukifika kitaa wewe mwenyewe ukijiuliza ulisomea nini unapata shida kupata jibu clear. Tuachane na Hilo.
Ki personality sababu ya kupigwa na maisha na changamoto za maisha nimekua introvert pro. Mkimyaa sana, usipoanzisha story hainisumbui kubaki kimyaa. Kiukweli sio kuwa ni ujeuri , ila nikiwa kimyaa najiona Niko safe zaidi ya kufungua kinywa changu .
Kwa utangulizi huu naomba Nije kwenye hoja ya msingi. Nifanyaje ili niweze kuanza maisha mapya kwenye mji mgeni kwangu, bila network ya marafiki, ndugu na jamaa. Kwa wale waliowahi pitia scenario kama hii mliwezaje kupata marafiki wapya, mambo gani ya kuzingatia unapokua ugenini Kwa watu baki waliokuamini. Njia gani za kutumia kuongeza network?
Kuna stress naipitia hadi akili haifikiri vizuri. JF naombeni muongozo
Ila we Dona 🤔🤣😂Mara paaap, mama mwenye mjengo anakuelewa...
Aisee...!
Nimewaza mbali kidogo...
Majimama ya sikuhizi unayajua wewe...Ila we Dona [emoji848][emoji1787][emoji23]