Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,745
Huyu jamaa Ni muongo harafu tapeli achaneni nae ....
Labda kama ananogesha kijiwe.
Labda kama ananogesha kijiwe.
Yeah nali jua Hilo😂😂😂, Kuna mmoja ana niangaliaga mpaka naona aibu🤣😂😂😂Majimama ya sikuhizi unayajua wewe...
Yana mahisia makali...
Hasa yakiona damu changa...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]