NYOLODO
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 12,205
- 27,938
Hawezi kunichunguza mm akang'amua chochote mana mm mwenyew kitengoMkuu Dodoma ulikuwa unafanya kazi gani ,umesoma umefanya Kazi Dodoma miaka 3 ,unafamilia na mtoto ....
Je wanajua kama saizii upo Kwa MTU umejiweka ?
Hio Kazi uliyokuwa unafanya dodoma ukaacha Si ufate pesa nssf uanzishe mtaji ...Tena serikalin kabisa umeachaje Kazi serikali saizii uko na shamba boy [emoji23]
Au umepewa Kazi ya kumchunguza Huyo Mzee Askari na familia yake [emoji23]