CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
- Thread starter
-
- #81
ha haaa, yaani charminglady upo opposite kabisa na mimi.
mimi kwanza nalalia tumbo (kifudifudi), halafu ninapolala ndo nitaamka hapo hapo.
kama nalala mwenyewe kitandani naweza kaa wiki nzima bila kutandika kitanda na ukiingia chumbani utafikiri kitanda hakikulaliwa. wakati mwingine najiuliza kama nakuwa nimelala au nakuwa nime-RIP?
ukipata mwenza itabidi uwe unalala ukutani ili usianguke, lol!
pole sana kwa kung'atwa na mbu
Yaani nimecheka sana.
Umenikumbusha maamuzi niliyofanya miaka michache iliyopita nilipoamua kurudi shule. Aisee, ile naonyeshwa chumba sikuamini kama ningefit kwenye kitanda kile. Nilijisikia kama nimelala kwenye meza. First few days nilikuwa naota nimeanguka. Lucky me sikuwa nahitajika kutumia neti ila kitu cha kwanza kukipiga picha ilikuwa kitanda.
Wewee nawe wa shoka!
Saahii watu twaenda lala wewe ndo waamka!
Asante dada mkubwa... mie huwa nina shughuli ya kuzunguka kitanda. Tena some times huwa najikuta nimetupilia shuka mbaaaalii.....
Unamfahamu babake charminglady? Ni watu8 na ukimsemesha tu anaita "baba"!! watu8 anakuja spidi na gobore na measkron na mwiko! Utaweza?
Asante dada mkubwa... mie huwa nina shughuli ya kuzunguka kitanda. Tena some times huwa najikuta nimetupilia shuka mbaaaalii.....
Tengeneza deka ulale huko juu.Hii ni njia salama ya haraka ya kujifunza kulala vizuri.ie usiweke chandarua
hahahahahahaaa!!!!!!!! Kweli ni njia salama hahahahahahaaa!!!!!!!!!
Don't try this at home.Tengeneza deka ulale huko juu.Hii ni njia salama ya haraka ya kujifunza kulala vizuri.ie usiweke chandarua
Hahahahaha,ulifanikiwa kumtibu mgonjwa..??
Shemejiii !
Kwanza pole.
Pili , kikanuni hakunaga nitedress za lon-sleeve!
Kiukweli shem ndy kusema unalalaga na suti !
naona kama nimepotea njia
sore
....Ila kumbuka siyo wote wanaotangatanga wamepotea!
tafuta mke wa kulala nae.