Mkalibari
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 659
- 400
njunwa wamavoko hii screen shot ya computer unaipigaje?
Last edited by a moderator:
Kwa windows 7 nenda kwenye start button afu search "Snipping tool"njunwa wamavoko hii screen shot ya computer unaipigaje?
safi sana wadau
Kwa windows 7 nenda kwenye start button afu search "Snipping tool"
Au windows 8 Fungua Charms window afu kwenye search tafuta hilo neno
Au install third party application kama snagit etc
njunwa wamavoko hii screen shot ya computer unaipigaje?
ku-quote zaidi ya moja...hapo unapoweza ku-reply by quote kulia kwake kuna ki alama kinaambatana na + basi click hicho kwenye post unazotaka kuquote zote...ya mwisho una click reply with quote then mambo yanakuwa mwake mwake baba'ke!kuhusu kumention majina una acha space then unclick @ ambayo utaiunganisha na jina mfano Zamaulid mbele ya zamaulid kuna@
Soma post yangu ya juu hapo [emoji115] nimeelezea ku multi quote kwenye JF appSamahani icho kialama cha + unapotaka kuquote post zaidi ya moja mbona sikioni mkuu nami natumia Jf App!!!!!!!
Soma post yangu ya juu hapo [emoji115] nimeelezea ku multi quote kwenye JF app
hicho kialama cha + kipo kwenye desktop version
Mi naomba kujuzwa mfano unataka kuweka link ya topic flan ya humu humu jf ili watu waisome inakuaje kwenye simu
Kwa windows 7 nenda kwenye start button afu search "Snipping tool"
Au windows 8 Fungua Charms window afu kwenye search tafuta hilo neno
Au install third party application kama snagit etc
Fungua topic unayotaka kisha minya MENU button kuna ki windows kitafunguka kina Copy urlMi naomba kujuzwa mfano unataka kuweka link ya topic flan ya humu humu jf ili watu waisome inakuaje kwenye simu
Sijakusoma vizuri mkuunjunwa wamavoko upo kwa vitendo zaidi, jamii app inakuwa faster zaidi kuliko ku-log in kwa utaratibu wa kawaida unapotumia simu?
Hiyo ndo JF Tech kisima cha maarifaAhsante sana mkuu nimeweza njunwa wamavoko
Kwa windows 7 nenda kwenye start button afu search "Snipping tool"
Au windows 8 Fungua Charms window afu kwenye search tafuta hilo neno
Au install third party application kama snagit etc
Jaman mbona siwez
Mm naona hiyo ndo poa zaidi ila kuna third party apps pia sijui kama zinakubali kwenye unrooted phone...Mara ya mwisho nilizitumia kwenye Android 2.3.5 zilikua zinaitaji root accessThanx mkuu, umetiisha
Alafu hii screen shot ya simu nayo kama inazingua sana hii ya vol key+power button sass sijui kuna alternative yake