Nawezaje ku-quote post zaidi ya moja Hapa JF?

ku-quote zaidi ya moja...hapo unapoweza ku-reply by quote kulia kwake kuna ki alama kinaambatana na + basi click hicho kwenye post unazotaka kuquote zote...ya mwisho una click reply with quote then mambo yanakuwa mwake mwake baba'ke!kuhusu kumention majina una acha space then unclick @ ambayo utaiunganisha na jina mfano Zamaulid mbele ya zamaulid kuna@

Honger kwa maelez mazur mkuu,,,yaan nimekosa hata cha kuongezea.

asante sana Zamaulid kwa maunjanja

Kumbe kweli
 
Tangia 2009 uje ujue leo ni uwongo mkubwa ivi mtakua lini? naishiaga kucheka tu watu kama nyie
To be honest nilikuwa sijuhi na wala nilikuwa sijishughulishi na hilo, ndio nimejua sasa
 
ku-quote zaidi ya moja...hapo unapoweza ku-reply by quote kulia kwake kuna ki alama kinaambatana na + basi click hicho kwenye post unazotaka kuquote zote...ya mwisho una click reply with quote then mambo yanakuwa mwake mwake baba'ke!kuhusu kumention majina una acha space then unclick @ ambayo utaiunganisha na jina mfano Zamaulid mbele ya zamaulid kuna@

Honger kwa maelez mazur mkuu,,,yaan nimekosa hata cha kuongezea.

Nimeweza, shukran Zamaulid na farijiel
 
Last edited by a moderator:
ku-quote zaidi ya moja...hapo unapoweza ku-reply by quote kulia kwake kuna ki alama kinaambatana na + basi click hicho kwenye post unazotaka kuquote zote...ya mwisho una click reply with quote then mambo yanakuwa mwake mwake baba'ke!kuhusu kumention majina una acha space then unclick @ ambayo utaiunganisha na jina mfano Zamaulid mbele ya zamaulid kuna@

Ngoja nijaribu mkuu Zamaulid

:shocked: :shocked: :shocked:
 
Last edited by a moderator:
ku-quote zaidi ya moja...hapo unapoweza ku-reply by quote kulia kwake kuna ki alama kinaambatana na + basi click hicho kwenye post unazotaka kuquote zote...ya mwisho una click reply with quote then mambo yanakuwa mwake mwake baba'ke!kuhusu kumention majina una acha space then unclick @ ambayo utaiunganisha na jina mfano Zamaulid mbele ya zamaulid kuna@

Honger kwa maelez mazur mkuu,,,yaan nimekosa hata cha kuongezea.

Maelezzo ya huyu mdau yanatosha ila Picha huongea zaidi ya maneno hizo alama anazo zisema na ukisha zibonyeza zitawekewa alama ya Tick

asante sana Zamaulid kwa maunjanja

EwalaaaaaaaH hatimae nimeweezaaaa:smile-big: :smile-big: :smile-big:
 
Mkuu Zamaulid kuna post yangu hapo nahitaji ushauri niliacha chuo sasa nahitaji kurudi tena kama unazifahamu process msaada wako tafadhali....
 
Last edited by a moderator:
ku-quote zaidi ya moja...hapo unapoweza ku-reply by quote kulia kwake kuna ki alama kinaambatana na + basi click hicho kwenye post unazotaka kuquote zote...ya mwisho una click reply with quote then mambo yanakuwa mwake mwake baba'ke!kuhusu kumention majina una acha space then unclick @ ambayo utaiunganisha na jina mfano Zamaulid mbele ya zamaulid kuna@

Honger kwa maelez mazur mkuu,,,yaan nimekosa hata cha kuongezea.

asante sana Zamaulid kwa maunjanja

Vp kwny cm.

Mfano nifah@

Ngoja nijaribu

wanakuja
:eyebrows:

nilikua najaribu kumention

namimi nimekumention tu!!si unajua nimekumiss

Wakuu natumai mu wazima wa afya kabisa. Naomba kueleweshwa namna ya kukoti post zaidi ya moja na kumention majina kwa kutumia kompyuta.

Kwa yeyote anayejua ashee na mimi maujuzi hayo.

mkuu jephta naona unakitu mkononi...unatoka kwa mama muuza au kona bar!
cv cv bvcbvcbcvbvcb
 
ku-quote zaidi ya moja...hapo unapoweza ku-reply by quote kulia kwake kuna ki alama kinaambatana na + basi click hicho kwenye post unazotaka kuquote zote...ya mwisho una click reply with quote then mambo yanakuwa mwake mwake baba'ke!kuhusu kumention majina una acha space then unclick @ ambayo utaiunganisha na jina mfano Zamaulid mbele ya zamaulid kuna@

Kama hvi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom