Naweza kusoma nikiwa kazini Diploma za Sayansi kwa ufaulu huu kidato cha sita wa mwaka 2014?

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2019
Posts
491
Reaction score
692
Habari za muda huu ndugu wana jukwaa.

Niende moja kwa moja kwenye mada; nilihitimu kidato cha sita mwaka 2014 mchepuo wa PCM na kupata alama zifuatazo;
Physics- D
Chemistry- E
Advanced Mathematics-E
General Studies- D ( japo haina maana).
Baada ya matokeo hayo yasiyoridhisha nikajikatia tamaa mpaka mwaka 2019 nilipoamua kusomea ualimu wa shule ya msingi daraja la III A na mwaka huu nimeajiriwa Serikalini.

Niwe mkweli tu; hii kazi siifurahii hata kidogo. Natamani sana kuwa mtaalamu wa masuala ya sayansi kama vile mambo ya mazingira, maliasili na Uhandisi lakini si ualimu. Kikwazo kilichopo ni hizo alama za mtihani hapo juu.

Ningependa kujua kama alama nilizozipata A’level zinaweza kunisaidia kusomea Stashahada za Sayansi nilizozitaja hapo juu huku nikiendelea na kazi hasa nyakati za jioni au blended mode. Nafahamu ufaulu wangu wa O’level unaniwezesha kusoma stashahada ya kozi hizo kwa muda wa miaka mitatu(Full time), kitu ambacho ni kigumu kwangu kwa sababu muda wa asubuhi mpaka mchana nitakuwa kazini . Ufaulu wangu wa O’level ulikuwa kama ifuatavyo kwa masomo ya Sayansi;
Engineering Science- C
Basic Mathematics- C
Chemistry- B
na masomo ya ufundi ufaulu wake ulikuwa hivi;
Building Construction-C
Surveying- B
Architectural Draughting- C

NB: Biology sikusoma na badala yake nilisoma Geography ambayo nilipata alama D kwa O’ level.

Na kwa sasa nimepata selection pale Open University kusomea Diploma in Primary Teacher Education ingawa sioni hii ikinipeleka kwenye Science Courses hapo baadaye.

Naomba ushauri tafadhali kabla sijachelewa kutoka kwenu wanajukwaa. Naamini kuna wataalamu wengi sana humu ndani na wengine ni wakufunzi kabisa. Je, naweza kupata kozi ya sayansi na kuisoma nyakati za jioni au kwa mfumo wa elimu ya masafa?,
Vipi kuhusu Foundation course?

Shukrani sana.
 
Mkuu kutokana na umri wako na hali za ajira zilivyo kwa sasa chunga hiyo ajira ya serikali uliyo nayo. Fanya kazi angalau mwaka mmoja kisha uombe likizo bila malipo ili ukasomee hicho unachotaka kusomea endapo pia utakuwa na mkopo wa HESLB. Likizo bila malipo itakusaidia kurudi kazini endapo baada ya kusoma hutapata kazi uliyosomea
 
Nimekusoma vema mkuu, japo lengo langu si kuacha hii kazi kwa sasa. Ninachohitaji ni kusoma nikiwa kazini.
 
Habari za muda huu ndugu wana jukwaa.

Niende moja kwa moja kwenye mada; nilihitimu kidato cha sita mwaka 2014 mchepuo wa PCM na kupata alama zifuatazo;
Physics- D
Chemistry- E
Advanced Mathematics-E
General Studies- D ( japo haina maana).
Baada ya matokeo hayo yasiyoridhisha nikajikatia tamaa mpaka mwaka 2019 nilipoamua kusomea ualimu wa shule ya msingi daraja la III A na mwaka huu nimeajiriwa Serikalini.

Niwe mkweli tu; hii kazi siifurahii hata kidogo. Natamani sana kuwa mtaalamu wa masuala ya sayansi kama vile mambo ya mazingira, maliasili na Uhandisi lakini si ualimu. Kikwazo kilichopo ni hizo alama za mtihani hapo juu.

Ningependa kujua kama alama nilizozipata A’level zinaweza kunisaidia kusomea Stashahada za Sayansi nilizozitaja hapo juu huku nikiendelea na kazi hasa nyakati za jioni au blended mode. Nafahamu ufaulu wangu wa O’level unaniwezesha kusoma stashahada ya kozi hizo kwa muda wa miaka mitatu(Full time), kitu ambacho ni kigumu kwangu kwa sababu muda wa asubuhi mpaka mchana nitakuwa kazini . Ufaulu wangu wa O’level ulikuwa kama ifuatavyo kwa masomo ya Sayansi;
Engineering Science- C
Basic Mathematics- C
Chemistry- B
na masomo ya ufundi ufaulu wake ulikuwa hivi;
Building Construction-C
Surveying- B
Architectural Draughting- C

NB: Biology sikusoma na badala yake nilisoma Geography ambayo nilipata alama D kwa O’ level.

Na kwa sasa nimepata selection pale Open University kusomea Diploma in Primary Teacher Education ingawa sioni hii ikinipeleka kwenye Science Courses hapo baadaye.

Naomba ushauri tafadhali kabla sijachelewa kutoka kwenu wanajukwaa. Naamini kuna wataalamu wengi sana humu ndani na wengine ni wakufunzi kabisa. Je, naweza kupata kozi ya sayansi na kuisoma nyakati za jioni au kwa mfumo wa elimu ya masafa?, kituo changu cha kazi kwa sasa ni Dar Es Salaam.

Shukrani sana.
Wazo lako ni zuri ila kuna hasara ndani yake,

1. Umri wako
2. Kuhama ualimu kwenda Cadre nyingine, ( maana hapa utaaza kuomba kazi upya), na hapa lazima ukutane na jiwe la ajira portal kwenye usaili, vingine labda ujiajiri..

*Angalia haya mambo kama yapo ndani yako.
 
Unafanya kazi katika jeshi gani, la polisi?
La wananchi au magereza, au TEETH?
 
Wazo lako ni zuri ila kuna hasara ndani yake,

1. Umri wako
2. Kuhama ualimu kwenda Cadre nyingine, ( maana hapa utaaza kuomba kazi upya), na hapa lazima ukutane na jiwe la ajira portal kwenye usaili, vingine labda ujiajiri..

*Angalia haya mambo kama yapo ndani yako.
Kazi naendelea nayo mpaka nitakapopata kada nyingine. Kuhusu umri Mungu ndiye anajua😀. Elimu haina mwisho mkuu
 
Habari za muda huu ndugu wana jukwaa.

Niende moja kwa moja kwenye mada; nilihitimu kidato cha sita mwaka 2014 mchepuo wa PCM na kupata alama zifuatazo;
Physics- D
Chemistry- E
Advanced Mathematics-E
General Studies- D ( japo haina maana).
Baada ya matokeo hayo yasiyoridhisha nikajikatia tamaa mpaka mwaka 2019 nilipoamua kusomea ualimu wa shule ya msingi daraja la III A na mwaka huu nimeajiriwa Serikalini.

Niwe mkweli tu; hii kazi siifurahii hata kidogo. Natamani sana kuwa mtaalamu wa masuala ya sayansi kama vile mambo ya mazingira, maliasili na Uhandisi lakini si ualimu. Kikwazo kilichopo ni hizo alama za mtihani hapo juu.

Ningependa kujua kama alama nilizozipata A’level zinaweza kunisaidia kusomea Stashahada za Sayansi nilizozitaja hapo juu huku nikiendelea na kazi hasa nyakati za jioni au blended mode. Nafahamu ufaulu wangu wa O’level unaniwezesha kusoma stashahada ya kozi hizo kwa muda wa miaka mitatu(Full time), kitu ambacho ni kigumu kwangu kwa sababu muda wa asubuhi mpaka mchana nitakuwa kazini . Ufaulu wangu wa O’level ulikuwa kama ifuatavyo kwa masomo ya Sayansi;
Engineering Science- C
Basic Mathematics- C
Chemistry- B
na masomo ya ufundi ufaulu wake ulikuwa hivi;
Building Construction-C
Surveying- B
Architectural Draughting- C

NB: Biology sikusoma na badala yake nilisoma Geography ambayo nilipata alama D kwa O’ level.

Na kwa sasa nimepata selection pale Open University kusomea Diploma in Primary Teacher Education ingawa sioni hii ikinipeleka kwenye Science Courses hapo baadaye.

Naomba ushauri tafadhali kabla sijachelewa kutoka kwenu wanajukwaa. Naamini kuna wataalamu wengi sana humu ndani na wengine ni wakufunzi kabisa. Je, naweza kupata kozi ya sayansi na kuisoma nyakati za jioni au kwa mfumo wa elimu ya masafa?,
Vipi kuhusu Foundation course?

Shukrani sana.
Mi nakushauri tu fanya ku reseat somo moja, Adv Math ndo rahisi au kama unaweza ongeza na chemistry kama unaweza kunywa maelezo.

Hii itakusaidia kukwepa mi diploma mingi kama Nape.
 
Kama upo Morogoro unaweza kusoma Diploma ya Geomatics, GIS au URP (utaanza na NTA level 5 then level 6, yaani miaka miwili) pale Chuo cha Ardhi Morogoro, au Diploma ya Civil engineering pale Chuo cha Ujenzi.
 
Mi nakushauri tu fanya ku reseat somo moja, Adv Math ndo rahisi au kama unaweza ongeza na chemistry kama unaweza kunywa maelezo.

Hii itakusaidia kukwepa mi diploma mingi kama Nape.
Mkuu una beef binafsi na Nape, mwanzoni umetoa maelezo vizuri baadae ukaja ku-twist maelezo ili umtukane Nape utimize malengo yako.... Anyway umefanya vyema kumtukana hata kwa niaba yangu maana nami simpendi 😅🤣😂
 
Back
Top Bottom