Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Mkuu tafuta pesa watakuja wenyewe.

Otherwise uwe na mapenzi ya kimaskini (kupiga simu na chat za mara kwa mara na wewe ndio unaanzisha) na uvumilivu wa kutosha
 
Mkuu tafuta pesa watakuja wenyewe.

Otherwise uwe na mapenzi ya kimaskini (kupiga simu na chat za mara kwa mara na wewe ndio unaanzisha) na uvumilivu wa kutosha
sio hivyo tu ata gemu hapewi Wanawak wenye mapenzi ya kweli wameshawahiwa
 
shida wanaume wa jf wengi wao wanahangaika na kuku wa kienyeji lazima mpigwe za mbavu. ebu mjichanganye na wanawake wanaojielewa kidogo khaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee tena mm huwa nawakubali sana Wanawake asilia ktk uzuri wala siyo hao wa kidigitali ambao hujiweka km midoli.

"Time is wealthy when it's timed consecutively"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisha mchukuwa dem tukafika getto dem hatak kutoa papuch anataka hela mm sikujali mzee mzima nikaingia kwenye tigo pesa nikamtumia kama shs50000, hapo mtoto akakubali kutoa uroda nimekula mautam tulivyo agana tuu nikaingia tigo pesa nikarudisha ile pesa, niliambulia meseji za matusi kutoka kwa yule dem urafiki ukaisha sikuileile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutokana na ugumu wa maisha na changamoto ya mabinti wa kisasa natamani sana nipate Mwanamke mwenye uwezo wake kipesa haijalishi ana umli gani isipokuwa asizidi miaka 40, simaanishi kwamba anihonge Pesa au Thamani yoyote isipokuwa naitaji nipate mapenzi ya kweli.

Natambua kwa sasa huwezi kuwa na mwanamke bila kuwa na pesa na mkakaa salama kwenye mahusiano. Sasa ni bora kuwa na mwanamke mwenye pesa zake ili aitaji mapenzi tu, kutoka kwangu
 
Back
Top Bottom