Naweza kujisajili na mitihani ya NBAA ya Novemba nikiwa na sap ya mwaka wa tatu?

Mapfa A

JF-Expert Member
Jan 9, 2015
250
258
Habari wakuu!
Mimi ni kijana niko mwaka wa mwisho katika shahada ya Uhasibu na fedha, Ningependa kufahamu, je mtu anaweza kujisajili kufanya NBAA exams ya November huku akiwa na supplentary somo moja kwenye semister ya kwanza mwaka 3?

Msaada Tafadhali coz yamenikita na nilikuwa na mpango Nijisajili Ili niweze kuitafuta CPA. Kwa mwezi November! WAKUU Masada Tafadhali!
 
Habari wakuu! Mimi no kijana niko mwaka wa mwisho katika shahada ya Uhasibu na fedha, Ningependa kufahamu je mtu anaweza kujisajili kufanya NBAA exams ya November huku akiwa na supplentary somo moja kwenye semister ya kwanza mwaka 3? Msaada Tafadhari coz yamenikita na nilikuwa na mpango Nijisajili Ili niweze kuitafuta CPA. Kwa mwez November! WAKUU Masada Tafadhari!
Kwa nnavyojua huwez kusajiriwa hadi iyo level iwe complete au unaweza kutumia cheti cha chini yan diploma au advance afu ukaanzia daraja la chini au kati
 
Habari wakuu! Mimi no kijana niko mwaka wa mwisho katika shahada ya Uhasibu na fedha, Ningependa kufahamu je mtu anaweza kujisajili kufanya NBAA exams ya November huku akiwa na supplentary somo moja kwenye semister ya kwanza mwaka 3? Msaada Tafadhari coz yamenikita na nilikuwa na mpango Nijisajili Ili niweze kuitafuta CPA. Kwa mwez November! WAKUU Masada Tafadhari!
Nilivyoona kichwa cha habari nikajua paper limevuja umeleta tusolve
 
Back
Top Bottom