Wanajamvi kuna yeyote kati yenu anaefurahia yanayoendelea Zanzibar?Kama hatua zenye busara hazitachukuliwa,kisiwa hiki kitapoteza hadhi yake kabisa.Nilichobaini wapo watu wachache sana wanye kuitakia mabaya Zanzibar,kwa busara na hekima niliyojaaliwa toka kwa Mungu,naamini kabisa nikitua pale naweza kutatua mgogoro wa uliopo ZANZIBAR.Nahitaji tu mamlaka tu kutoka ngazi zinazoweza kunipa nguvu si ya fedha wala ulinzi.Sitanii,Wakuu wa nchi na mawaziri wenye dhamana na wadau wengine,tushirikiane tumalize tatizo.Dawa ya tatizo ni kulitafutia ufumbuzi.Wanajanvi wote naomba pia mchango wa maboresho wa namna ya kutatua mgogoro uliopo,ili pale pawe na amani na uhuru wa kutosha.Naomba kuwasilisha.
Katiba ya chama ina nguvu kuliko ya katiba,ccm zanzibar wafanya wafanyalo kulinda muungano,kuwasambaratisha ambao wanapinga muungano kwa maslahi yao binafsi,haliyakuwa wananchi hawakubaliani na mfumo huu wa muungano.
Wewe utamaliza vipi huu mgogoro uliopo zanzibar ?
Kumaliza mgogoro wa zanzibar JWTZ kuwacha unyanyasaji juu ya wananchi wa zanzibar,kuwapa uhuru ambao munao ita wa democrasia,Kumwachia huru shekh wa jumuiya ya kislamu huko zanzibar haraka iwezekanavyo.
Hasara ambazo zitakazo wakabili wanannchi na taifa kwa ujuma.
Serikali imekuwa ni chochozi juuu ha haya,hasara inakuja katika kubabuana na kidini,na kiitikadi,na wapi unatoka,haya ndio sasa yanatuathiri,kama utakuwa mtanganyika zanzibar basi utakuwa ni adui wa wanzanzibari,kwa vile JWTZ ambalo linawanyanyasa wazanzibari,kwa vile wengi wa JWTZ asilimia 99 ni watanganyika,hii ndio inayowatoa imani wazanzibari kwa watanganyika.
Lakini suala la udini,hili haliusiani na wazanzibari,kwani hao wakiristo huko zanzibar ,wako kabla kabla ya mapinduzi,na tunaishi nao kwa amani na upendo,sikubalini na hoja yoyote kuhusu udini zanzibar,mimi ni mzanzibari halisi.