kama iliandikwa kutoka kwa mungu kwamba znz itajitenga hakuna yoyote kati yetu anayeweza kuzuia,na wao wenyewe wakubali kuwa chochote kile kitakachotokea huko baada ya kujitenga kwao ni jukumu lao wenyewe na si watanganyika.pia wakumbuke ardhi yao ni ndogo watakapojitenga idadi yao ikiongezeka watakwenda wapi?,watalima wapi?,watafanya biashara wapi? Tujue kwamba kuna mabeberu ya kizungu,kiarabu,kichina yanapataka sana kule ajili ya kula raha tu. Je kwa wale waswahili wenzangu na mimi vipi mtayamudu maisha ya kibeberu?.ndugu zangu waznz toeni tofauti zenu zote ebu tafakalini maisha ya baadae ya jamii zenu na si vinginevyo,maana maisha ya sasa ya vijimisaada vya hapa na pale madhala yake watayaona wajukuu zenu pindi watakapokosa sehemu japo ya kupanda mchicha ama kuvua vibua.