J.K.Rayhope
JF-Expert Member
- Oct 26, 2011
- 316
- 31
Wanajamvi kuna yeyote kati yenu anaefurahia yanayoendelea Zanzibar?Kama hatua zenye busara hazitachukuliwa,kisiwa hiki kitapoteza hadhi yake kabisa.Nilichobaini wapo watu wachache sana wanye kuitakia mabaya Zanzibar,kwa busara na hekima niliyojaaliwa toka kwa Mungu,naamini kabisa nikitua pale naweza kutatua mgogoro wa uliopo ZANZIBAR.Nahitaji tu mamlaka tu kutoka ngazi zinazoweza kunipa nguvu si ya fedha wala ulinzi.Sitanii,Wakuu wa nchi na mawaziri wenye dhamana na wadau wengine,tushirikiane tumalize tatizo.Dawa ya tatizo ni kulitafutia ufumbuzi.Wanajanvi wote naomba pia mchango wa maboresho wa namna ya kutatua mgogoro uliopo,ili pale pawe na amani na uhuru wa kutosha.Naomba kuwasilisha.