Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,036
- 20,337
Asalam wakuu naomba mnukuu kwanza kwenye title ya uzi kuwa nawaza tu na neno huenda ndilo mpigie mstari.
Ni kwamba sina uhakika Japo sipo sahihi kama sabaya atakaa miaka 30 jela.
Kulingana na kauli ya sabaya leo kuwaambia hata wasihofu Mungu yupo huenda ina Maana Zaidi.
Je, unazani hakuna watu nyuma ya Sabaya? Kama wapo unazani watamuacha Muda wote huo? Jibu ni hapana najua unajiuliza kuwa watafanya nini na hukumu ishatoka.
Basi Mimi najaribu kuwaza huenda sabaya atakaa Jela miaka michache sana nijaribu kuassume hata miaka 10 Japo sipo sahihi harafu kutatokea na msamaha wa Rais na hapo Sabaya anaweza kutoka.
Hayo ni mawazo tu.