Vipi quran na sunna zinasemaje juu ya kujiita jina la kike wakati wewe ni mwanaume?
Vipi quran na sunna zinasemaje juu ya kujiita jina la kike wakati wewe ni mwanaume?
Vipi quran na sunna zinasemaje juu ya kujiita jina la kike wakati wewe ni mwanaume?
Faizafoxy uko sahihi kabisa katika Da'awa uliyoitoa, ila nadhani Mzizimkavu hakuwa na dhamira ya Shirq, uponyaji alioukusudia ule wa faraja tu (katika muktadha huu) ingawa hakutamka "biidhinillah" mwishoni, lakini sasa tukitaka hivyo, basi katika kila tutalolisema tunalazimika kusema hivyo au "Insha'Allah". Hata usipoitamka kwa ulimi au kuiandika, basi uitakidi katika moyo wako, na watu watahukumiwa zaidi kwa dhamira zao. Hapa tunaongea maskhara tu ya jumba la kifahari, tunapumzisha akili. C'mon FaizaFoxy cheer up, tukitaka kupasuana vichwa twendeni jukwaa la siasa, kule mzizimkavu hana umahiri ulionao wewe, lakini huku ni eneo la kujidai la mzizimkavu. Pia naona hadhi ya Qur'an tukufu ni kubwa mno, haingepaswa kuwekwa kwenye mazagazaga haya yaliojaa maskhara na wasiojua maana yake. Nawapenda nyote! Wabillahi Tawfiq!
Mkuu@BONGOLALA kumbe huyu.@FaizaFoxy ni Dume? mbona anajifananisha na mwanamke? Mtume Muhammad rhema za Allah ziwe juu yake na amani amesema hivi amelaaniwa kila mwanamme ambaye anajifananisha na mwanamke au mwanamke ambaye anajifananisha na mwanamme ikiwa kama kweli maneno yako unayoyasema basi itamuhusu hiii hadithi muhusika.
Kwani faizafoxy ni kidume??????
Una maradhi anayougua MziziMkavu.
Huyu atakufaaView attachment 174852
Una maana ni ile puti na primer wanayotanguliza usoni kuondoa makunyanzi na mabaka kabla ya kupaka rangi za uso?Mapowder tuu hayo farkhina
Maradhi gani??
mhh interesting huyu faiza foxy ni man?ila now nimegundua kitu huku JF ila nafanya research bado.Mkuu@BONGOLALA kumbe huyu.@FaizaFoxy ni Dume? mbona anajifananisha na mwanamke? Mtume Muhammad rhema za Allah ziwe juu yake na amani amesema hivi amelaaniwa kila mwanamme ambaye anajifananisha na mwanamke au mwanamke ambaye anajifananisha na mwanamme ikiwa kama kweli maneno yako unayoyasema basi itamuhusu hiii hadithi muhusika.
Ni dume fulani anayepata vitenda vya serikali anahofia ccm ikiondoka madarakani familia itakosa kwenda choo ana watoto 6
Una maana ni ile puti na primer wanayotanguliza usoni kuondoa makunyanzi na mabaka kabla ya kupaka rangi za uso?