Huyu atakufaaView attachment 174852
Mbona mdoli?
Mapowder tuu hayo farkhina
Na mie ntamuomba anipodoe
Nikiuguwa mimi weewe si ndio mponyeshaji wangu? au unasemaje? bibie FaizaFoxy?Una maradhi anayougua MziziMkavu.
Kila kitu ni shirki basi hizo shirki zipo nyingi kwenu. hata mtu kutibiwa na mpenzi wake pia ni shirki? acheni maneno yenu hayo ya uzushi Viongozi wa siku hizi vijana wengi wao ni wana maneno ya uzushi kuhus masuala ya dini maneno mengi ni ya kuwekwa na M -Sheikh Uchwara Masheikh vijana wana matatizo katika masuala ya dini.............Hiyo ni shirki, Muislam hapaswi kusema upuuzi kama huo.
Kila kitu ni shirki basi hizo shirki zipo nyingi kwenu. hata mtu kutibiwa na mpenzi wake pia ni shirki? acheni maneno yenu hayo ya uzushi Viongozi wa siku hizi vijana wengi wao ni wana maneno ya uzushi kuhus masuala ya dini maneno mengi ni ya kuwekwa na M -Sheikh Uchwara Masheikh vijana wana matatizo katika masuala ya dini.............
Amma kwa hakika imani yako ni ndogo sana na Ilm yako ya Uislam ni ndogo sana, Huo uliuandika ni upuuzi na ujinga usio na mfano, pata darsa:
Qur'an 6:17
Sahih International
And if Allah should touch you with adversity, there is no remover of it except Him. And if He touches you with good - then He is over all things competent.
Halafu kama wewe ni Muislam nakuomba isome Ayatul Kursi na maana yake, ujielewe.
Mkuu@BONGOLALA kumbe huyu.@FaizaFoxy ni Dume? mbona anajifananisha na mwanamke? Mtume Muhammad rhema za Allah ziwe juu yake na amani amesema hivi amelaaniwa kila mwanamme ambaye anajifananisha na mwanamke au mwanamke ambaye anajifananisha na mwanamme ikiwa kama kweli maneno yako unayoyasema basi itamuhusu hiii hadithi muhusika.Vipi quran na sunna zinasemaje juu ya kujiita jina la kike wakati wewe ni mwanaume?
Kama unapaogopa husiende kukaa huko.
Mkuu@BONGOLALA kumbe huyu.@FaizaFoxy ni Dume? mbona anajifananisha na mwanamke? Mtume Muhammad rhema za Allah ziwe juu yake na amani amesema hivi amelaaniwa kila mwanamme ambaye anajifananisha na mwanamke au mwanamke ambaye anajifananisha na mwanamme ikiwa kama kweli maneno yako unayoyasema basi itamuhusu hiii hadithi muhusika.