Nawaza Nikae na nani huku

Nawaza Nikae na nani huku

Swadaktaaa ila umenichekesha kwa kufananisha putt na primer nimevuta picha ya gari inayofanyiwa maandalizi ya kupakwa rangi
Kimsingi wanatumia kanuni ileile ya upakaji wa rangi za magari kupaka rangi kwenye nyuso zao. Huwa kwanza wana safisha uso kwa facial cleaner, halafu wanaweka kitu wanaita background, kisha ndio wanapaka rangi zao. Gari nalo huwezi kupaka rangi mpya mpaka kwanza uondoe rangi chafu iliyopo na kisha uweke background yaani puti na primer.
 
Bulldog umeumbuka bana...lete hati ya manunuzi kutoka kwa Will Smith...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom