Nimeamua kuvunja haya mahusiano

Nimeamua kuvunja haya mahusiano

Ushimen

Platinum Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
44,723
Reaction score
112,835
Wakuu....
Ushauri wenu numeupokea na nikaamua nisiendele kulewa maana najiumiza.
Nimerudi geto nikakikuta kile kitoto kilicho nisevu eti "mubaba wangu".....
Nimekaita nikakaambia kwamba sikutaki na nimeamua tuachane.
Ghafla kimeanza kulia na kulalamika eti.... kuanzia sasa hatokaa amuamini kwamaume yeyote tena, hata wakiwa mia (100) eti wote wanafanana tu....
Mimi nika kiuliza kwamba..... kwani nani alikutuma ukaliwe na hao wote mia (100)???

Au nimejibu vibaya wakuu....??
 
Dogo umefeli kabisa, hii ilikuwa ni bonge ya series kali sana kuliko zile series za UMUGHAKA wa bhaghaka
 
Wakuu....
Ushauri wenu numeupokea na nikaamua nisiendele kulewa maana najiumiza.
Nimerudi geto nikakikuta kile kitoto kilicho nisevu eti "mubaba wangu".....
Nimekaita nikakaambia kwamba sikutaki na nimeamua tuachane.
Ghafla kimeanza kulia na kulalamika eti.... kuanzia sasa hatokaa amuamini kwamaume yeyote tena, hata wakiwa mia (100) eti wote wanafanana tu....
Mimi nika kiuliza kwamba..... kwani nani alikutuma ukaliwe na hao wote mia (100)???

Au nimejibu vibaya wakuu....??
Haka nipasie mie mzee, nilee hiyo mimba ya mabwana 100. Halafu kanipige matukio hadi niseme yero sobayi.... Hiki ni komelea gani ndani ya moyo wa Morani?
 
Wakuu....
Ushauri wenu numeupokea na nikaamua nisiendele kulewa maana najiumiza.
Nimerudi geto nikakikuta kile kitoto kilicho nisevu eti "mubaba wangu".....
Nimekaita nikakaambia kwamba sikutaki na nimeamua tuachane.
Ghafla kimeanza kulia na kulalamika eti.... kuanzia sasa hatokaa amuamini kwamaume yeyote tena, hata wakiwa mia (100) eti wote wanafanana tu....
Mimi nika kiuliza kwamba..... kwani nani alikutuma ukaliwe na hao wote mia (100)???

Au nimejibu vibaya wakuu....??
Platinum member bado una hoja za kitoto,uko humu zaidi ya 20 years bado unashindwa kuutendea haki uplatnum member wako.

Platinum member alijejiunga na Jf 2012,
bado anaishi getto, itoshe kusema wewe ni mtu wa hovyo kabisa.

Nilitegemea uwe na familia na uwe baba wa kuwalekeza Genz,you behave like under 18 boys

You are a good for nothing Man
 
Kwani ulimkuta BIKRA ??
 
Sidhani kama maisha yapo serious kiasi hiki mkuu...
 
Umejibu kwa hisia na kijembe badala ya busara, jambo ambalo limeongeza chumvi kwenye kidonda.

Mwanaume aliyekomaa hatoi maneno ya kashfa wakati wa kuachana. Unasimamia msimamo wako kwa upole lakini kwa msisitizo.
 
Platinum member bado una hoja za kitoto,uko humu zaidi ya 20 years bado unashindwa kuutendea haki uplatnum member wako.

Platinum member alijejiunga na Jf 2012,
bado anaishi getto, itoshe kusema wewe ni mtu wa hovyo kabisa.

Nilitegemea uwe na familia na uwe baba wa kuwalekeza Genz,you behave like under 18 boys

You are a good for nothing Man
Hakuna haja ya kuwa na familia mkuu....🤨
Kwanza watoto ni hasara, wanamaliza pesa ya kubondea raha...🤣
downloadfile-28.jpg
 
Umejibu kwa hisia na kijembe badala ya busara, jambo ambalo limeongeza chumvi kwenye kidonda.

Mwanaume aliyekomaa hatoi maneno ya kashfa wakati wa kuachana. Unasimamia msimamo wako kwa upole lakini kwa msisitizo.
Nimemkomesha....😂
downloadfile-21.jpg
 
Wakuu....
Ushauri wenu numeupokea na nikaamua nisiendele kulewa maana najiumiza.
Nimerudi geto nikakikuta kile kitoto kilicho nisevu eti "mubaba wangu".....
Nimekaita nikakaambia kwamba sikutaki na nimeamua tuachane.
Ghafla kimeanza kulia na kulalamika eti.... kuanzia sasa hatokaa amuamini kwamaume yeyote tena, hata wakiwa mia (100) eti wote wanafanana tu....
Mimi nika kiuliza kwamba..... kwani nani alikutuma ukaliwe na hao wote mia (100)???

Au nimejibu vibaya wakuu....??
Kwa Nini umuache jamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom