Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,797
- 6,795
Habari
Katika kuzurura zurura humu jf nimekutana na tu vitu twa kunishangaza sana hasa hawa memba wa Kike humu:
1. Kwenye jukwaa la MMU, CHIT CHAT na CELEBRITY hapo ndio mpo active kuliko majukwaa mengine sasa nawauliza hamjui kitu kwenye SIASA, UCHUMI, UTABIBU, MAGARI, ELIMU, SHERIA maana huko mnauliza tu, tofauti na majukwaa mengine
2. Mnapenda kuuliza sana kila jambo isipokuwa MMU na CELEBRITY hapo mna PHD kwa kweli. Sasa nawauliza nyie ni wasomi, je ni wasomi wa MMU?
3. Naskiaga huku mmepita chuo kikuu ila sasa mbona siwaelewagi mambo ya kutumia akili ya darasa la saba mpaka muombe msaada. mfano jiko langu linatoa moto wa njano naomba msaada?
4. Kwa nini hamko huru huku, japokuwa hatujuani(sina uhakika) ila mtu anaogopa kufungua ili iwe manufaa kwa wengine. Mkitaka kufunguka mnatumia id mpya.
5. Hamnaga mawazo chanya nyie kila kitu ni kibaya kwenu hasa linapokuja mahusiano, ushauri, maelekezo n.k
Niishie hapo
nakaribisha mapovu yenu