Kwa hiyo kisa line zimesajiliwa ndiyo utume pesa bila kuhakiki, kisa umepokea tu msg inayosema, ile pesa tuma kwa no hii!? Na ukishajua umepigwa kizembe unaanza kusumbua police wetu!Jinga kabisa, tulisajili line kwa sababu gani sasa?
We Mirembe panakufaaKwa hiyo kisa line zimesajiliwa ndiyo utume pesa bila kuhakiki,kisa umepokea tu msg inayosema, ile pesa tuma kwa no hii!? Na ukishajua umepigwa kizembe unaanza kusumbua police wetu!!
jikite kwenye hoja usijitoe fahamu. unamtumiaje mtu pesa kisa umeona sms ya tuma humu kama hauna walakin wa kufikiri na kutafakari? tujengeane fikra ya kibenk kuwa chukulia kila mteja amekuja kukuibia ili kuwepo umakin zaidi. hata mtandaon hivy hivyo kila kitu fikiria mara 3. ndo maana wanaonunua online huangalia kwanza reviews za kampun kama si ya kitapeli. jifunze kuwajibika sio kulalama tu utadhan serkali inakaa kwenye ubongo wako ili ifikirie kwa niaba.We Mirembe panakufaa
Basi serikali ikae pembeni iwaache raia wake waendelee kuliwa maana yote ni ujinga waoKwa haraka haraka Watanzania bado sana tuna uzembe uliopitiliza. Mengine tunaipa serkali mizigo ya ovyo kabsa. Hata nchi jirani zenye watu makini hawana kiwango hiki cha ujinga na ushamba wa dunia ya mitandao.
Kuna mtu anaibiwa kizembe hadi unataman umzabe kibao kama bonus. Serkali ni kama inajitaid kulea na kulinda watoto walemavu wa kutafakar katika kila tambo.
Ulinzi wa Mtu, unaanza na Mtu mwenyewe! Usitegemee Serekali ikulinde wakati wwe mwenyewe huwezi kujilinda hata kwa kuvuka barabara,unataka mpaka traffic aje akuvushe barabara!!Basi serikali ikae pembeni iwaache raia wake waendelee kuliwa maana yote ni ujinga wao
Huko barabarani ni wewe sijazungumzia hukoUlinzi wa Mtu, unaanza na Mtu mwenyewe! Usitegemee Serekali ikulinde wakati wwe mwenyewe huwezi kujilinda hata kwa kuvuka barabara,unataka mpaka traffic aje akuvushe barabara!!
Hata ulinzi wa simu yako unaanza na wewe mwenyewe, halafu Serekali inakuja baadae!!Huko barabarani ni wewe sijazungumzia huko
Sawa, endelea kutetea vibaka wenzio !!Nitangulize samahani kwa wadau watakaodhani natetea uhalifu (ubaya) wa namna yoyote. Lakini wema na ubaya havijawai kuachana kama mwanga na giza. Ifikie hatua waibiwaji tujitathmini.
Ubaya ukikwaza wengi mtu timamu huangalia wapi tatizo linaanzia.
Hili la wizi wa mtandaon kama "tafadhari tuma humu" naomba lawama zote nizielekeza kwa wahanga wenyewe.
Huwezi kudai haki kama hutimizi wajibu. Unatumaje pesa kwa sms ya namba usiyoijua bila hata kuhakiki na mhuska!
Kwa haraka haraka Watanzania bado sana tuna uzembe uliopitiliza. Mengine tunaipa serkali mizigo ya ovyo kabsa. Hata nchi jirani zenye watu makini hawana kiwango hiki cha ujinga na ushamba wa dunia ya mitandao.
Kuna mtu anaibiwa kizembe hadi unataman umzabe kibao kama bonus. Serkali ni kama inajitaid kulea na kulinda watoto walemavu wa kutafakar katika kila tambo.
Nashauri kuanzia chekechea watoto wapewe masomo ya kutafakar na kuchaj akili. hili ni pamoja na kuwapa nguvu ya kuhoji na kujihoji. Haki na Wajibu. Kodi na Rushwa. Watu ni waoga hadi dhidi yao wenyewe.
Mbinu hubadilika, bora kuongeza nguvu kwenye ufaham kuliko kutafuta wahalifu kwa kila mbinu mpya inayoibuka na kwa gharama kubwa. Serkali na taasisi zake tuipunguzie mzigo wa kufukuza upepo wakat kuna wizi halisi wa kimtandao kama wa hackers.
Kifupi tu watu wengi wanaibiwa mtandaoni kwa sababu za uzembe, kutojari, ushamba na ulimbuken. Yan KUTOWAJIBIKA!
Tatizo la wamiliki wa mitandao ukiwapa ushahidi wa namba za hao matapeli, hawazifungi. Hao matapeli wanajuaje kuwa hela imeingia? Unapoingiziwa hela ndiyo msg za kitapeli zinaanza! Kuna connection ya matapli na wafanyakazi wa mitandao!kwahiyo hao wezi wapo sahihi??