Mitandao ya simu kwanini inagawa namba zilizokuwa zimesajiliwa kwa watumiaji wengine?

Twin Tower

JF-Expert Member
Jan 13, 2023
2,129
2,982
Wakuu salam!

Hili jambo nimeshalilalamikia kipindi cha nyuma lakini naona sasa imekuwa kero.

Binafsi nilisajili namba ya airtel na kuiweka katika simu. Muda wote ipo kwenye simu ila nikaswitch single line use.

Nakuja kutaka kuitumia haisomi kwangu, najaribu kuipiga inatumiwa na mtu mwingine.

Leo pia namtafuta mtu sikuwa nimewasiliana nae muda mrefu anapokea mtu mwingine.

Huu nachukulia ni udhaifu mkubwa sana unaendekezwa hasa na TCRA katika kuwa simamia hizi kampuni za simu.

Kubadilisha kwa sababu yeyote ile bila ridhaa ya mwenye namba alieisajili ni uhuni tu.

Kama wanaona haitumiki wafanye jitihada za kushawishinwateja ama ziwe suspended kama wanadhani kuna shida yeyote ila sio kuhamisha matumizi kwa mtu mwingine.

Najua kuna wafanyakazi wa makampuni hayo humu achilia mbali TCRA fikishenu huu ujumbe.
 
Ikiwa haipo hewani kati ya miezi miwili hadi mitatu wanaifunga na kuiwezesha upya ili ikatumike kwa mtu mwingine.
 
Wakuu salam!

Hili jambo nimeshalilalamikia kipindi cha nyuma lakini naona sasa imekuwa kero.

Binafsi nilisajili namba ya airtel na kuiweka katika simu. Muda wote ipo kwenye simu ila nikaswitch single line use.

Nakuja kutaka kuitumia haisomi kwangu, najaribu kuipiga inatumiwa na mtu mwingine.

Leo pia namtafuta mtu sikuwa nimewasiliana nae muda mrefu anapokea mtu mwingine.

Huu nachukulia ni udhaifu mkubwa sana unaendekezwa hasa na TCRA katika kuwa simamia hizi kampuni za simu.

Kubadilisha kwa sababu yeyote ile bila ridhaa ya mwenye namba alieisajili ni uhuni tu.

Kama wanaona haitumiki wafanye jitihada za kushawishinwateja ama ziwe suspended kama wanadhani kuna shida yeyote ila sio kuhamisha matumizi kwa mtu mwingine.

Najua kuna wafanyakazi wa makampuni hayo humu achilia mbali TCRA fikishenu huu ujumbe.
Kama ulikuwa na hela wanaipeleka wapi?
 
Hili ni tatizo kubwa .Ni bora wawe wanatuma sms kwa mhusika kmq wanataka kuigawa number kwa mwingine.
Watumie random number generator kama wana uhaba wa number_
 
Wakuu salam!

Hili jambo nimeshalilalamikia kipindi cha nyuma lakini naona sasa imekuwa kero.

Binafsi nilisajili namba ya airtel na kuiweka katika simu. Muda wote ipo kwenye simu ila nikaswitch single line use.

Nakuja kutaka kuitumia haisomi kwangu, najaribu kuipiga inatumiwa na mtu mwingine.

Leo pia namtafuta mtu sikuwa nimewasiliana nae muda mrefu anapokea mtu mwingine.

Huu nachukulia ni udhaifu mkubwa sana unaendekezwa hasa na TCRA katika kuwa simamia hizi kampuni za simu.

Kubadilisha kwa sababu yeyote ile bila ridhaa ya mwenye namba alieisajili ni uhuni tu.

Kama wanaona haitumiki wafanye jitihada za kushawishinwateja ama ziwe suspended kama wanadhani kuna shida yeyote ila sio kuhamisha matumizi kwa mtu mwingine.

Najua kuna wafanyakazi wa makampuni hayo humu achilia mbali TCRA fikishenu huu ujumbe.
Namba yangu mpk Leo iko na mtu mwingine hii sio haki kabisa
 
Back
Top Bottom