johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,965
- 141,968
Kwanza namshukuru Mungu kwa kutuvusha salama na hatimaye kuifikia siku hii ya leo tunapoenda kuchagua viongozi wetu.
Ninamuomba mwenyezi Mungu awatie nguvu ninyi nyote ili tuweze kukamilisha jukumu hili la kikatiba kwa amani. Tukumbuke kuwa kuna maisha baada ya uchaguzi na kwamba siasa haijengi chuki wala uadui.
Kazi na Iendelee.
Maendeleo hayana vyama!