Uchaguzi 2020 Nawatakia Watanzania wote Uchaguzi wenye Baraka na Amani ya Mungu ile ipitayo fahamu zote

IMG_20201026_051817.jpg
 
Mungu yupi unamzungumzia?
Kwanza namshukuru Mungu kwa kutuvusha salama na hatimaye kuifikia siku hii ya leo tunapoenda kuchagua viongozi wetu.

Ninamuomba mwenyezi Mungu awatie nguvu ninyi nyote ili tuweze kukamilisha jukumu hili la kikatiba kwa amani. Tukumbuke kuwa kuna maisha baada ya uchaguzi na kwamba siasa haijengi chuki wala uadui.

Kazi na Iendelee.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mungu yupi huwa unamshukuru na kumuomba?

Waefeso : Mlango 5​

11 Wala msishirikiane na matendo yasiyozaa ya giza, bali myakemee;
 
Back
Top Bottom