Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Wenye kutufafanulia picha iko jukwaani tayari, kazi kwenu. Jamaa kaanza mbali kujenga mazingira ya Ukulu ati, alijitahidi kuegemea wanakoogopa watu kutia mguu.
Kadinal Rugambwa!!Huyo jamaa kushoto ni nani?
Wewe unaona hiyo picha ni hivi karibuni? Think....Think...Think!!!Hawezi kuwa Cardinal Rugambwa. Cardinal Rugambwa amekufa zamani,kabla JK hajaingia Ikulu.
Kadinal Rugambwa!!
Hawezi kuwa Cardinal Rugambwa. Cardinal Rugambwa amekufa zamani,kabla JK hajaingia Ikulu.
kwani hii picha alipiga akiwa ikulu?
mnnnnh hebu vaa miwani then utazame picha tena ujue ni ya kipindi kipiHawezi kuwa Cardinal Rugambwa. Cardinal Rugambwa amekufa zamani,kabla JK hajaingia Ikulu.
Kadinal Rugambwa!!
Kivipi? Hebu fafanuaViongozi wa dini wamechangia ufisadi
Mkuu ganesh ndo unaambiwa jamaa alianza zamani kuutafuta ukulu, its a long term process!!!! Thanks Candid Scope!!!!Hawezi kuwa Cardinal Rugambwa. Cardinal Rugambwa amekufa zamani,kabla JK hajaingia Ikulu.
au ndo kisa aliemrithh Rugambwa akasema JK kachaguliwa na Mungu?
au ndo kisa aliemrithh Rugambwa akasema JK kachaguliwa na Mungu?