Nawasilisha picha hii JF

Nawasilisha picha hii JF

Mimi nafikiri hapa +walikuwa VIP Lounge ya DIA ya wakati huo mwishoni mwa miaka ya 80 au mwanzoni mwa miaka ya 90

Kipindi hicho Kikwete alikuwa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na alikuwa na nafasi nzuri sana ya kusafiri au kukutana na watu mashuhuri kama hawa.
 
JF bwana! Hivi kuna kinachoweza kupita bila neno?
Hiyo picha could be as innocent as a falling leaf ..... hivi...kila jani lidondokalo lina jambo?
 
Back
Top Bottom