Nawashauri vijana wenzangu Udalali ndiyo msingi wa kipato kwa dunia ya leo, hususani Tanzania

Ni kazi nzuri ila wana tamaa sana na tatizo ndo linaanzia hapo.

Wataanza kudalalia vitu vya wizi, magendo nk.
Ila kwa wale maneno mengi ni kazi inayowafaa sana.
 
Tanzania kuna fursa sana ya kutengeneza fedha ukiwa dalali smart. Jua bidhaa ipo wapi, jua mnunuzi yupo wapi. Usiendekeze tamaa.

Tatizo la madalali wako kama mbuzi. Utasikia "Tupo wa3, tupo wa4. Na hapo bei ya bidhaa wameiongeza mara mbili, wanarudi tena kwa mwenye bidhaa na hadithi za tuna mteja bei sema mara mbili na usipunguze. Matokeo yake mteja hata akinunua akija kujua mlimpiga harudi wala kutoa recommendation.
tatizo ni kazi yenyewe inapita kwenye mikono mingi

MWALIMU;LETE PESA YA PENI 100

MTOTO;MAMA NAOMBA 200 YA PENI

MAMA;BABA NANILIU MTOTO ANATAKA PENI BEI 300

alafu utarajie bei ya uuzaji uwe the same
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
tatizo ni kazi yenyewe inapita kwenye mikono mingi

MWALIMU;LETE PESA YA PENI 100

MTOTO;MAMA NAOMBA 200 YA PENI

MAMA;BABA NANILIU MTOTO ANATAKA PENI BEI 300

alafu utarajie bei ya uuzaji uwe the same
Ndo maana nikasema ukiwa dalali smart. Dalali smart anapokea service fee kwa mhitaji bidhaa na commision kwa muuzaji bidhaa. Dalali smart hajimilikishi bidhaa esp asiyoifahamu ila anaonyesha njia ya wapi inapatikana na wapi pa kuuza. Dalali smart anatafiti na kujua taarifa za bidhaa, hategemei kuzipata kwa dalali mwenzake saa bidhaa inahitajika. Dalali smart hata unapomlipa unatamani umuongezee na pesa ya usumbufu kwa msaada aliokupa na lazima ukikutana na mtu mwenye uhitaji wa huduma kama aliyokupatia haraka sana utampa namba zake.
 
huwajui wabongo wewe
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Problems

Kusalitiana

Kuuana

Kulogana

Pia kuwa na Sonona.. mara nyingi wanauza au kudalalia vitu sivyo (Vya dhulma au vibovu) mwisho nafsi inawasuta sana...

Kazi ya kipuuzi sana.
Na kweli katika watu wanaongoza kudhulumiana/kuuana madalali

Utajiri wa ghafla na kufilisika nje nje
 
Kuna haja ya kuifanya kazi ya udalali ki professional itapunguza matatizo hasa kwa wanaoifanya hiyo kazi , wengi wao kutanguliza tamaa.

Katika kazi yeyote usitangulize tamaa unaweza ukawin market vizuri zaidi kuliko ukitanguliza tamaa. Ukitanguliza tamaa mteja unaempata mkimalizana harudi tena unasubiri kupata mwingine mpya
 
Back
Top Bottom