kisukari said:mimi napenda accent zao.yale maneno
wakiyakandamiza dah hufurahi kwa kweli.ila
nasikia mwanamke akiwa mweupe mahari
huwa nyingi kuliko ukiwa mweusi.sijui kuna
ukweli wa hili?
Yap ni wazima sana kwa kuwa wengi ni "majembe" si watoto wa mama ni wazeee wa kazi na misosi yao ni DONA na MAPALAGHE, hawanaga mambo ya sembe na chipsi.....hata kwenye six kwa six ni wazima sana
habari zenu...
Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc.
wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo hayaendi.
trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. i know what am talking about.
NB; sijasema makabila mengine hawajui kupenda...
Umenena vyema rafiki tatzo ni kuendekeza ndugu hata wa mbali af ndugu wengne manenoYap ni kweli wasukumua ni watu wapole sana by nature na hawapendi makuu...Japo tabia yao ya upole hufanya watu wakawaona washamba na ku-take advantage ila ukimpata msukuma halafu ameenda shule dah mbona utapenda....
Tatizo kubwa la wasukuma ni kuishi African Family life sana yaani wanapenda sana kuendekeza udugu hata na watu wa mbali ilimradi wanakaa kijiji kimoja au wanaundugu wa kuunganisha kwa gundi, hapo hupanua wigo wa utegemezi, familia kuwa kubwa sana na mambo kama hayo ila kama ukiwza kuishi na hii challenge ni watu wzuri sana yaani utapenda.....
Yap hii kwa usukumani ni kama tabia ya asili kwao...kusikia mtu anakwambia fulani ndugu yangu usishangae ukuiliza mna undugu gani akwambie baba yake mdogo alikua mwalimu mkuu wa shule aliyosoma dada....Umenena vyema rafiki tatzo ni kuendekeza ndugu hata wa mbali af ndugu wengne maneno
Can I ask something Queeny? What was/is your sample size please to reach this pretty grand generalization? Two things can be learnt, one if your proposition is true that you had a good sample WEWE NI KICHECHE! if you only tested one, that is fallacy...
uchunguzi mdogo lakini conclusion kubwa kama vile umefanya major researchhabari zenu...
Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc.
wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo hayaendi.
trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. i know what am talking about.
NB; sijasema makabila mengine hawajui kupenda...
fanya wewe hiyo major research
wa geita sijui mwanza mi sielewi, namaanisha wa town, wa vijijini nawajulia wapi?
If you do not know the other side of the coin kwanini uliwageneralize? Ulitakiwa useme wanaume wa kisukuma wa mjini wanajua kupenda, kucare etc. Come and test maasai (morans), you will enjoy indefinite care beyond your imagination. Hadi rasta watakusuka bure.
then dont criticize mine with empty words..a research is criticized by a new one.
Wanawake wa kileo hampendi majukumu, na sasa mnataka kila kitu mfanyiwe hayo ndiyo mnaita eti macare ndio maana ndoa hazidumu kabbisa..chukua jukumu lako kama mwanamke sio uige maisha ya watu eti wasukuma wanacare,,,hao ndio unakuta wanaruhusu mwanamke kwenda disco anarudi saa 5 au saa 6 usiku eti linasema aah mimi namwamini thubutuuu!!! na ukisikia mwanaume anaitwa muelewa ujue hilo zuzu...
habari zenu...
Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc.
wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo hayaendi.
trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. i know what am talking about.
NB; sijasema makabila mengine hawajui kupenda...
Sio mna care ni mabwege