Nawapenda sana wanake wa Kinyakyusa

Nawapenda sana wanake wa Kinyakyusa

Wanawake wemeru ni noma korofi jeuri wanaume siyo wabaya

Wanarusha visu hao usiombee
Trejo-Desperado.jpg
 
Nyakyusa woman:
hotlady, goodwife, bettermother, bestgrandmom!
 
Even me like some Tusekile,Tumpare and that sexy Sekela.
 
kumbe ni Mashallah namna hii,ukitaka kula nguruwe kula aliyenona.
Nalog off
 
Wanaume bhana!!!!!!!!!! Mi napenda wanaume wa kinyiramba naombeni picha pls ila msimfiche miguu yake nataka kuthaminisha.
 
khaa huo mwili anakula hizo ndizi zote ama?
 
Kuna jamaa wangu aliniambia eti inasemekana mkoa wa mbeya unaongoza kwa wanaume wenye mikono ya sweta (no offense) sasa yeye kuna kipindi alienda kule kwa shughuli zake za kibiashara basi akapata mwanamke wa kinyakyusa. Siku wamepeana mihadi fresh wakaenda kujamiiana ile kumaliza tu, yule mwanamke wa kinyakyusa akasema," mweh?? Kumbe fyakumenya fitamu kuliko fyamaganda?"
 
duh!!!! no comment!!!
 
Back
Top Bottom