Nawapenda sana paka

Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
17,701
2,000
Niliokota paka akiwa mdogo nikampeleka nyumbani, baada ya kukua nikajua kumbe jike.
Madume yakawa hayakauki na zile kelele zao wanazopiga wakiwa kwenye heat utasema mtoto mchanga.

Yule paka alikua anazaa kwa frequency ya mwaka mmoja mara mbili halafu watoto wakifika umri fulani anawatorosha, mwisho na yeye akatoroka.

Nimeamua nikifuga paka awe dume, labda yale hayatojirudia.
 
dendizzo

JF-Expert Member
Jun 1, 2012
782
1,000

Dume akikomaa sana kuna muda anasepa home hata wiki mbili then anarudi mwenyewe. Sijui huwa wanaenda wapi
 
Kazwala mkuu

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
1,012

Ninae wangu ni dume na nilimfundisha mengi tangu utoto wake kwanza haibi mpaka umpe, pili hata kama nyumba imefungwa hakuna watu hatokwenda kwa jirani na nikirudi ananifuata kuanzia mbali kwa upendo mkubwa.
 
Hahaha ni kweli ila pale anakwenda kutafuta michepuko, na kama kukiwa na dume kubwa zaidi yake anaweza akapigwa na kupotea kabisa.
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
17,701
2,000
Ninae wangu ni dume na nilimfundisha mengi tangu utoto wake kwanza haibi mpaka umpe, pili hata kama nyumba imefungwa hakuna watu hatokwenda kwa jirani na nikirudi ananifuata kuanzia mbali kwa upendo mkubwa.
Mimi yule nilimuweza kwenye chakula kama hakipo kwenye sahani yake hali, ukitupa chini hali.
Hakukua na banda hivyo alikua analala na mimi room moja, alfajiri atanirukia rukia pale ili nimfungulie, ila ndo vile vidume vikamteka vikalala naye mbele.
 
Kazwala mkuu

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
1,012
2,000
Kuna mtu aliwahi kuniambia hii kitu, itakua kakutana na jike kutoka Tanga limemteka
Katika viumbe vinavyo endekeza mapenzi ni paka, ukimuweka dume sehemu ambayo hakuna mademu anaweza akahamia mtaa wa pili kurekebisha.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom