Mi napenda paka na mbwa, ila sasa paka wananiudhi sana wa mwisho nlimwachilia mbwa wakamuua, alikuwa na kawaida ya kuingia jikoni anakula samaki, siku moja nimenunua samaki ndoo nzima wakakaangwa nikijua kabisa ataiba basi nikachukua ndoo nikafunika na mfuniko wake, usiku akafungua akala samaki wote, yaan anavyofoa kidogo anaacha anachukua mwingine. Nikamtoa akawa analala nje, baasae akachana wavu wa dirisha la jikoni akaingia akala samaki tena ndoo nzima. Nina mbwa wawili mmoja nlimnunua fidfos, amepata mafunzo na cheo cha koplo. Yeye ukimwambia kamata, hata kama ni mtu bora ujisalimishe tu. Dakika tano nyingi paka aliletwa akiwa ujiuji kavunjwa mifupa yote, but mbwa kararuriwa uso wote dam